TANZIA Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli afariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar

TANZIA Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli afariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar

Status
Not open for further replies.
Pigo kwa Tanzania, A.mashariki, na Dunia kwa ujumla kumpoteza mtu Jasiri, Mtetezi wa Rasilimali za nchi yake dhidi ya wanyonyaji,
Rasilimali za Tanzania zilikuwa salama chini yake, sijui sasa hali itakuwaje......eee Mungu tusaidie watanzania wako.

Mtu ambaye huwezi kutilia mashaka juu ya Uzalendo kwa nchi yake.

Mpambanaji asiye yumba wala hakubali kuyumbishwa.

Rais aliye fanikinikiwa kubana matumizi ya serikali kwa kudhibiti safari na ziara za mataifa ya nje n.k

Alikuwa ni Rais bora barani Afrika.
JPM pumzika kwa amani
Usisahau pia ndie alieanzisha Mbuga mpya na kuhamishia wanyama kisha kuita Kitovu cha Utalii

Sent from my Nokia 8.1 using JamiiForums mobile app
 
Unakumbuka hata uliandika nini kabla ??? Tofauti ipo kubwa sana kati ya waandishi wa biblia

Katika Waandishi wanne wa Injili Hakuna hata mmoja aliyekuwa Mwanafunzi wa Yesu (AS).”

Katika (Luka 6:14-16 na Marko 3:17) tunaona yametajwa majina ya wanafunzi kumi na wawili na Yesu (AS). Huku majina Mathayo na Yohana yamo, na majina Marko, Luka na Paulo hayajatwaja.

Hata hivyo, kutokana na nkuu zifuatazo, utagundua kuwa hizo Injili mbili zinatajwa kuwa ni za Mathayo na Yohana kwa kuwaheshimu tu, kwani ziliandikwa na mtu wa tatu. Soma nakala halisi ya mstari wa (Mathayo 9:9):

"Naye Yesu alipokuwa akipita kutoka huko aliona mtu ameketi forodhani aitwaye Mathayo, akamwambia nifuate. Akaondoka akamfuata."
Na katika (Yohana 21:24):

"Huyu ndiye yule mwanafunzi ayashuhudiaye haya, na aliyeyaandika haya; nasi twajua ya kuwa ushuhuda wake ni kweli?"
Katika aya ya kwanza, mwandishi anasimulia tu kile kilichotokea kati ya Yesu (AS) na Mathayo, huku katika aya ya pili, ni wazi kuwa kiwakilishi “nasi” kinawakilisha mwandishi.

Hebu kwa sasa tutafakari juu ya kile kilichosemwa na waandishi wawili wa Kikristo kuhusu kuundwa kwa Biblia:

“Wakati mwingine, Wanukuzi wanatia kile kisichokuwemo katika maandishi, pia kile wanachokifikiria kitakuwemo. Mnukuzi anaweza kuamini kumbukumbu zinazobadilika, au anaweza kuunda maandiko kwa mujibu wa mtazamo wa madhehebu anayoyafuata.

Kwa kuongezea katika matoleo na manukuzi ya Mapadri wa Kikristo, takriban (Miswada) ya Mandiko Matakatifu elfu nne ya Wagiriki [MSS], ilijulikana kuwa ipo. Kwa hiyo, tofauti za usomaji ni jambo la kuzingatiwa.”

Kwa hiyo Injili ziliundwa, na ambazo kiwaziwazi, ziliakisi mitazamo ya ufahamu wa mahitajio na matumizi ya jamii za waandishi. Kwao wao, vitu vya kimila vilitumika, lakini kulikuwa hakuna kusita katika kukibadilisha kile kisichoendana na lengo la mwandishi.

Nitajibu la wanafunzi wa Yesu. Alikuwa nao lukuki wanaume kwa wanawake. Lakini kati ya hao alichagua mitume12. Katika hao 12 wako ambao majina yalifanana, mfano Yuda walikuwa wawili, Iskarioti msaliti na mwingine.Paulo alikuja baada ya Yesu. Na kuna namna Yesu alimuita wakati kesha rudi mbinguni. Umeona usivyo ielewa Biblia nadhani.
 
Mabibi na mabwana hii clip inajieleza yenyewe:



Mkuu wa wilaya kushindwa kujizuia? Watu kushindwa kulala?

Kwa hakika tumepatwa msiba mzito.

Ya Mbeya yanajieleza waziwazi. Niongeze nini zaidi?

Poleni wana Mbeya. Poleni wana Chatto. Poleni watanzania.

Kalale pema peponi JPM.

Daima tutakukumbuka.
 
Akili zako zinakutuma Magu ndo alikuwa mungu wa Tanzania?

Acheni uchawi, hatima ya watanzania iko mikononi mwa watanzania. Ujinga wetu ndio ulitufikisha hapa tukiamini Magu ndo alikuwa chaguo la Mungu...

Magu kaondoka Tanzania iko palepale, watanzania wako palepale...

Luka 9:56 na Matayo 18:11
Angalia maudhui ya hii mistari je yanatofauti?

Hii hoja ya little while. Kwa Mungu siku moja ni sawa na miaka 1000 na miaka 1000 ni sawa na siku moja.. Si maneno yangu ni Maneno ya Mungu haya.
 
Ni kweli kabisa. Licha ya mapungufu aliyokuwa nayo kama kiongozi mwingine yeyote aliifanya Afrika ijiamini na iamini kwamba kama tukithubutu tunaweza kupindua meza "kibabe"
Kupindua meza mbele ya Beberu acheni huu ujinga yaani unamchukia Beberu kesho waziri wako anapita mlango wa pili kuomba msaada hizi mambo wanaongea watawala wasiojielewa lengo kupumbaza akili za watu wao! ukweli ni kwamba hakuna wakupindua meza ya bebera Karne na karne

Sent from my Nokia 8.1 using JamiiForums mobile app
 
R.I.P KIONGOZI shupavu, pamoja na miongozo iliyopo ya urais ila ulijaribu kutumia utashi na ujasiri uliokua nao ili kuweka mambo sawa, ulijitoa kwenye urais na ukawa kama mwananchi wa kawaida asiyependa majivuno

Sijui kama flyover moroco, kilwa road kuelekea mbagara itajengwa hakika viatu vya nyerere vilikufiti.
Usisahau na wasiojulikana

Sent from my Nokia 8.1 using JamiiForums mobile app
 
Nyerere aliacha Wosia, Mkapa aliacha kitabu na Magufuli ameacha makaburi...... RIP Azory Gwanda RIP Ben Saanane
😢
😢
😢


My bro alikatwa katwa na mapanga na ubongo ukachuruzika mithili ya supu nzito ya nguruwe kisa tu ni diwani wa chadema.

Lala Dikteta magufuli, Usiamke tena
 
Mbn mbeya hamna kitu kama hicho shughuli zinaendelea kama hakijatokea kitu[emoji109][emoji109]

Clip chini ya rubani RC Chalamila umeiangalia au ume komenti kwanza?

Ushahidi wote huo bado wabisha?
 
Kama alikuwa anaumwa tena ugonjwa wa kudumu kama huu.

kwa nini CCM walitupatia Rais mbovu wa Afya? Na Mgonjwa hivi????

Naamini sasa kumbe yale maamuzi mabovu ya kulipuka lipuka!! Tumbua tumbua hawa!! Acha hawa!! Kula vichwa wale mpaka na watu wa kujitolea, kula kichwa tu!!

Mtu halali ...Rais usingizi ukipaa tuu mnalo kutwa kucha tumbua, tumbua na wewe heee!! Hulaliiii.....

Kuuumbeee!!! Rais si Rais ni akili ya ugonjwa? Ndo maana alikuwa na mihasira vile akiona watu wanafurahi?hana amani Nape kamsaidia mpaka kapinduka na gari. Fukuza tu!!msamehe haikuwa akili ya Rais ile.bali ugonjwa!!

Hakujali katiba ya nchi yeye ni twende tu!! Kumbe mgonjwa???mtu wa akili timamu huwezi tumbua wafanya kazi vile...kwani kikwete hakuona??

Mjengo wa Tanesco ubungo kushushwa km ulivo shuka ile ni matokeo ya heart fibrillation.wakisema Covid tutawasamehe.lkn hii Hf hapana!!!! Lazima iende na mtu.

Mfano kutumbua watumishi kirahisi vile km kichaaa!!!tena unatumbua madaktari wako unaowategemea ki afya. Halafu ukiugua unawarudia tena wakutibu heeee!! Si umetengeneza nao uadui?? Unarudi palepale tena???

Unadhani watakuacha ili uwasumbue tena??
Km uligombana nao.nenda katibiwe mbali km kikwete alivofanya.
Dr amekula kiapo cha kutosalitiana km hukujua hii weye ni mgonjwa.

wale walistahili malipo km sehemu ya utumishi wao kwa sirikali! Yeye hakujali hayo aliwaminyaa tu mazimaaa.

Hakuchoka kutumbua.kufanya kazi hata jumamosi. Mungu mwenyewe na ukuu wake alipumzika siku ya saba.na alituagiza tupumzike pia km yeye.

wewe ni nani uwe ni ""hapa kazi tuu""! Bila pumziko??? Alipingana na amri ya Mungu??
Angalia sasa Mungu anampumzisha kwa lazima.

Ndo hivyo Mungu alisema akimaanisha ni amesema hutaki ndo km hivi.
Musa kule jangwani na ujanja wake wooote! Aliwapumzisha wana wa Israel km Mungu alivoagiza.

Mficha mficja maradhi....
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom