TANZIA Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli afariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar

TANZIA Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli afariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar

Status
Not open for further replies.
Kwa hili corona ilitufanyia jema watz haswa kumfyeka huyu kichaa

Yaani Covidi ilimfyeka bwana yuleee ikamfyeka fyeee sahivi anachomwa huko kuzimu maskini

Mama yule hadi kanenepa maana jamaa alikua anamtesa sana


Asante Corona kwa kutusaidia watanzania kutuondolea yule mwendakuzimu yaani ilimfyeka fyeeee!!!!!!!! Sahivi wafuasi wake wametawanyika kama vitoto vya kuku vilivyokimbizwa na mwewe yaani ni raha sana


Kwa kweli asante mungu asante corona kwa kutuondolea yule kicha mwendakuzimu!

Nimeandika na sifuti!!
Hivi inakuaje wadau thread Kama hii inafika hadi page ya 4 lakini bado haifutwi
 
watu wanafaidi matunda ya mikakati yake harafu wanaletabuzwazwa..sijui kwao hawajafariki
 
Una hasira na marehemu wewe, pole sana. Endelea kumkumbuka mzee baba. JPM alikuwa raisi na nusu...
 
Bado najiuliza hivi kwa nini serikali ilificha kuumwa kwake.

Kwani wangetangaza anaumwa wangepungukiwa nini?

Kwa kifo chake nasema wazi walitukosea sana watanzania ni kheri wangetangaza hali yake ili watanzania tungepata muda wa kufunga na kufanya maombi naamini mungu angepokea maombi yetu.
 
Kwa namna mambo yanavyokwenda Sasa hivi ni dhahiri walikuwa hawapendi namna Magufuli anavyowatetea wananchi hivyo kuumwa kwake ilikuwa furaha yao.
Inafirikisha na kufundisha sana kwamba unaowaona wasaidizi wako kumbe ndio maadui namba moja
 
Waliokuwa wanamlaani kimoyomoyo walikuwa ni wengi kuliko waliokuwa wanamuombea mema.......kati ya wahanga wa ajira na wachumia tumbo makada wa ccm ni kundi lipi lina watu wengi hapa tz
 
wafanyakazi wengi wa seriakli ngazi za juu walikuwa wanamlaani kwani alizuia upigani na sitting allowance za ovyoovyo.Ndo maana hawakutaka kututqngazia..na wala aliomba aonhee na watanzania kupitia TV laivu atuase wakamkatalia nadhani waligopa atataja waliomudhuru
 
wafanyakazi wengi wa seriakli ngazi za juu walikuwa wanamlaani kwani alizuia upigani na sitting allowance za ovyoovyo.Ndo maana hawakutaka kututqngazia..na wala aliomba aonhee na watanzania kupitia TV laivu atuase wakamkatalia nadhani waligopa atataja waliomudhuru
Akili yako iko sawasawa??
 
Wewe endelea kumwombea msamaha na rehema na kuliombea taifa, maana si jambo la kawaida rais kufa akiwa madarakani. Ni sawasawa na kusema mfalme Daudi afe kabla ya kumaliza kusudi la bwana....
 
JPM TUNAKUKUMBUKA;-

Leo ndugu yangu amejeruhiwa vibaya na kundi la vibaka baada ya kukataa kuwapa password za simu yake wafanye miamala,tukimpeleka hospital akiwa katika hali mbaya damu zikichulizika kama maji alikuwa akitamka "JPM niokoe,JPM niokoe" nikaanza kumtafakari upya Mzalendo,Kipenzi cha watu Rais John Pombe Magufuli,nimegundua katika mioyo ya Watanzania ndani kabisa yupo Rais John Pombe Magufuli,Pumzika kwa amani Shujaa.

Hayati Dkt John Pombe Joseph Magufuli katika maisha yake alikuwa ni mzalendo halisi ( true patriot ) na aliyeweka maslahi ya Taifa letu mbele kuliko maisha yake Binafsi . Pia aliyebeba falsafa ya umajinuni wa Afrika ( Pan ___ Africanist ) ambaye aliishi katika maono na matamanio ya kumkomboa mtu mweusi kutoka katika minyororo ya mabeberu na kumpa uhuru wa kiuchumi . Tuendelee kumuombea kwa mwenyezi mungu ili ampe pumziko la amani Shujaa wetu . RIP Dkt John Pombe Joseph Magufuli
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom