Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Atafanyaje wakati hiyo ndiyk kazi inayo mfanya aishi mjini?Hoja yako ni kumshabikia Vasco Da Gama mpya au ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atafanyaje wakati hiyo ndiyk kazi inayo mfanya aishi mjini?Hoja yako ni kumshabikia Vasco Da Gama mpya au ?
Huyu anapiga kotekote nje na ndaniGharama ya Rais wa Tanzania na deligate yake kusafiri ndani ya nchi ni kubwa kuliko ile yakwenda nje japo Safari zote mbili zinaumuhimu mkubwa kwa Taifa letu,
===
Kipindi flani niliwahi kuhesabu magari ya msafara wa Rais wa JMT sina kumbukumbu sahihi ila yalizidi magari 40 mengi yakiwa ni aina ya " Land cruisers "
===
Nimejaribu sio kwa usahihi sana kufanya hesabu ya gharama za mafuta kwenye ziara ya Rais ndani ya nchi bila kuhesabu malazi na Chakula kama Rais atatokea Dar es salaam kwenda Mwanza na kurudi Dar es salaam bila kukatisha popote kwa msafara mdogo wa magari 40 tu,
===
Iko hivi gari aina ya Land cruiser V8 lililotumika kama haya yetu linatumia Lita 45.5 kwa umbali wa km 100 (45.5L/100Km )
===
Umbali kutoka Dar es salaam mpaka Mwanza kwa gari ni Jumla ya kilometa 1,146 hii ni hadi Mwanza mjini,
===
Chukua hizi 1,146km zigawanye kwa 100 utapata mizunguko 11.46 ya kilometa mia moja kila mmoja kutoka Dar-Mwanza,
===
Zidisha 11.46 kwa lita 45.5 ili kupata Jumla ya mafuta ya gari aina ya Land cruiser V8 kutoka Dar es salaam hadi Mwanza mjini ambapo utapata Jumla ya lita 522 za mafuta hii ni kwasafari moja ya gari moja kwenda Mwanza tu
===
Sasa zidisha lita 522 kwa magari 40 kama makadirio ya chini ya msafara wa Rais utapata jumla ya lita 20,880 kisha zidisha mara mbili ilikujua gharama ya mafuta ya kwenda na kurudi Dar es Salaam,
===
Utapata Jumla ya lita 41,760 ikiwa ndio idadi ya lita za mafuta kwa magari yote 40 aina ya Land cruiser V8 kwa Safari ya kutoka Dar es salaam mpaka Mwanza na kurudi Dar es salaam,
===
Zidisha lita 41,760 kwa bei ya mafuta ya wastani wa TZS 2,500 kwa lita utapata Jumla ya TZS 104,400,000(milioni mia moja na nne na laki nne) Hii ndio gharama ya mafuta tu kwa Rais kusafiri kwa msafara wa magari 40 ndani ya Tanzania.
==
|[CHUKUA MFANO WA SAFARI YA RAIS SAMIA YA KWENDA MISRI]|
===
Gharama ya ndege za abiria anazopanda Rais Samia kama Ethiopia Airlines kutoka Dar -Cairo Misri kwa economy class ni TZS 850,000 per head na hii ni kwenda na kurudi Tanzania, ( two ways )
===
Kwamfano,kama Rais Samia atakwenda na deligate|msafara wa watu 40 basi atalipa nauli kwa wote Jumla ya TZS 34,007,000 kwa kwenda Misri na kurudi Tanzania,
===
Sasa gharama ya mafuta tu ya msafara wa Rais kwenda na kurudiMwanza,Geita,Kigoma,Kagera,Mara,Simiyu na maeneo ya jirani inakadiriwa kufikia TZS 100m bila kuhesabu Chakula na Malazi kwa deligates,
===
Wakati huohuo gharama ya kwenda Misri na kurudi na deligates ya watu 40 ni TZS 30m tu bila kuhesabu chakula na malazi,
===
Sasa kwamsiofahamu gharama za Rais wa Tanzania kufanya ziara ndani ya nchi ni kubwa kuliko gharama za Rais huyohuyo kufanya ziara nje ya nchi hasa kama Rais huyo atatumia ndege ya abiri kama anavyofanya Rais Samia Suluhu,
===
Namba hazijawahi kunidanganya mwenye akili ataelewa kuwa kumbe Rais anaweza asisafiri nje still deni la nchi likachipua kama uyoga,
===
View attachment 2006415
View attachment 2006416
Naona kuna ukweli hapa,Gharama ya Rais wa Tanzania na deligate yake kusafiri ndani ya nchi ni kubwa kuliko ile yakwenda nje japo Safari zote mbili zinaumuhimu mkubwa kwa Taifa letu,

Hii comment tata sanaHuyu anapiga kotekote nje na ndani
Yule alikuwa anapiga ndani tu
SijakuelewaNi upuuzi kujaribu kuhalalisha upuuzi wa ki_vasco da gama.
Umejitahidi kumtetea Mhe. Rais, ni uzalendo huo maana bila Rais hakuna nchi inaitwa Tanzania, Rais ni nembo/alama ya nchi. Nimepata shida kidogo kwenye kikokotoo chako hivi:Gharama ya Rais wa Tanzania na deligate yake kusafiri ndani ya nchi ni kubwa kuliko ile yakwenda nje japo Safari zote mbili zinaumuhimu mkubwa kwa Taifa letu,
===
Kipindi flani niliwahi kuhesabu magari ya msafara wa Rais wa JMT sina kumbukumbu sahihi ila yalizidi magari 40 mengi yakiwa ni aina ya " Land cruisers "
===
Nimejaribu sio kwa usahihi sana kufanya hesabu ya gharama za mafuta kwenye ziara ya Rais ndani ya nchi bila kuhesabu malazi na Chakula kama Rais atatokea Dar es salaam kwenda Mwanza na kurudi Dar es salaam bila kukatisha popote kwa msafara mdogo wa magari 40 tu,
===
Iko hivi gari aina ya Land cruiser V8 lililotumika kama haya yetu linatumia Lita 45.5 kwa umbali wa km 100 (45.5L/100Km )
===
Umbali kutoka Dar es salaam mpaka Mwanza kwa gari ni Jumla ya kilometa 1,146 hii ni hadi Mwanza mjini,
===
Chukua hizi 1,146km zigawanye kwa 100 utapata mizunguko 11.46 ya kilometa mia moja kila mmoja kutoka Dar-Mwanza,
===
Zidisha 11.46 kwa lita 45.5 ili kupata Jumla ya mafuta ya gari aina ya Land cruiser V8 kutoka Dar es salaam hadi Mwanza mjini ambapo utapata Jumla ya lita 522 za mafuta hii ni kwasafari moja ya gari moja kwenda Mwanza tu
===
Sasa zidisha lita 522 kwa magari 40 kama makadirio ya chini ya msafara wa Rais utapata jumla ya lita 20,880 kisha zidisha mara mbili ilikujua gharama ya mafuta ya kwenda na kurudi Dar es Salaam,
===
Utapata Jumla ya lita 41,760 ikiwa ndio idadi ya lita za mafuta kwa magari yote 40 aina ya Land cruiser V8 kwa Safari ya kutoka Dar es salaam mpaka Mwanza na kurudi Dar es salaam,
===
Zidisha lita 41,760 kwa bei ya mafuta ya wastani wa TZS 2,500 kwa lita utapata Jumla ya TZS 104,400,000(milioni mia moja na nne na laki nne) Hii ndio gharama ya mafuta tu kwa Rais kusafiri kwa msafara wa magari 40 ndani ya Tanzania.
==
|[CHUKUA MFANO WA SAFARI YA RAIS SAMIA YA KWENDA MISRI]|
===
Gharama ya ndege za abiria anazopanda Rais Samia kama Ethiopia Airlines kutoka Dar -Cairo Misri kwa economy class ni TZS 850,000 per head na hii ni kwenda na kurudi Tanzania, ( two ways )
===
Kwamfano,kama Rais Samia atakwenda na deligate|msafara wa watu 40 basi atalipa nauli kwa wote Jumla ya TZS 34,007,000 kwa kwenda Misri na kurudi Tanzania,
===
Sasa gharama ya mafuta tu ya msafara wa Rais kwenda na kurudiMwanza,Geita,Kigoma,Kagera,Mara,Simiyu na maeneo ya jirani inakadiriwa kufikia TZS 100m bila kuhesabu Chakula na Malazi kwa deligates,
===
Wakati huohuo gharama ya kwenda Misri na kurudi na deligates ya watu 40 ni TZS 30m tu bila kuhesabu chakula na malazi,
===
Sasa kwamsiofahamu gharama za Rais wa Tanzania kufanya ziara ndani ya nchi ni kubwa kuliko gharama za Rais huyohuyo kufanya ziara nje ya nchi hasa kama Rais huyo atatumia ndege ya abiri kama anavyofanya Rais Samia Suluhu,
===
Namba hazijawahi kunidanganya mwenye akili ataelewa kuwa kumbe Rais anaweza asisafiri nje still deni la nchi likachipua kama uyoga,
===
View attachment 2006415
View attachment 2006416
Umejitahidi kumtetea Mhe. Rais, ni uzalendo huo maana bila Rais hakuna nchi inaitwa Tanzania, Rais ni nembo/alama ya nchi. Nimepata shida kidogo kwenye kikokotoo chako hivi:
Mwanza to Dsm ni 1146km, V8 inatembea 100km kwa lita 45.5, sasa ukigawa 1146km kwa 100km unapata 11.46 litres per km, yaani V8 inatumia lita 11.46 kwa km 1. (pale ulitumia neno "mzunguko" wakati ilitakiwa kuwa neno "lita" Kwahiyo V8 inatumia mafuta mengi kwa km kuliko ndege ona hii (A Boeing 747-400 with 240 000 litres of fuel carries 416 passengers about 8 800 miles (14 200 km) and fuel’s calorific value is 10 kWh per litre). Ona pia matumizi ya Bombardier (When flying this same trip at a "fuel saving" option achieving maximum cruise range speed (MRC) that yields a slower block time of 157.3 minutes, the Q400 fuel consumption is around 664 US Gallons or 4,447 Pounds (2,017 Kilograms). This yields a Q400 fuel burn of 1.107 gallons per nautical mile or 0.904 nautical miles per gallon), Bombardier inachoma lita galoni 1 kwa maili 1. V8 umesema inakimbia km 1 kwa lita 11.46. Kwa maneno mengine ni kwamba V8 inatoka Dar hadi Chalinze 108km kwa lita 45.5, hapa kuna mkanganyiko mkubwa sana wa takwimu.
Lakini umeelezea umbali wa Mwanza hadi Dar as if V8 inakimbia kwenye gear moja tu. Hata ndege inabadili kasi, na mabadiliko ya kasi au gear yanaakisi mabadiliko katika matumizi ya mafuta.
Duniani kote hakuna Rais ambaye sheria na itifaki zinamruhusu kutembea kwa gari km 1146, security ya Rais iko wapi hapo?
Duniani kote Rais na delegation yake wana itifaki ya aina ya magari ya kutumia kwenye motorcade, yanatakiwa kuwa ya kasi (zamani ilkuwa ni Benz nafikiri hata sasa pia bado Benz ni Protocol Car), lengo ni kuwahi muda na usalama. Hata ndege ya Rais inatakiwa kuwa ni ambayo inaenda kwa kasi kubwa (jet engine not propeller engine), huwezi kumtorosha Rais kwa Propeller engine.
Ila niko na wewe pamoja katika mantiki ya ziara za Rais kuwa na tija.
Lakini si angeenda na gari tu, mbona cairo karibu sana, gari ni nafuu sana kuliko ndege[emoji23][emoji23]RAIS azunguke kadri anavyoweza... Wananchi lazima wapate unafuu kutokana na uwepo wa binadamu wengine!!
Zunguka Mama!
NB: Lakini Cairo Misri kaenda na ATCL
Daaah aende na gari?Lakini si angeenda na gari tu, mbona cairo karibu sana, gari ni nafuu sana kuliko ndege[emoji23][emoji23]
Chochote utakachofanya watu hawatakosa kulaumu, jpm hakusafiri kabisa, wakalaumu, SSH hajafikisha hata safari 10,lawama,
Kanyaga twende mama tulichelewa sana sana
Bado itakuwa nafuu naaminiThis is too narrow..
Consider other factors kama posho, security,
Anyway nafikiri njia sahihi si kupima gharama tu, lakini kupima matokeo ya safari hizo, kama je kuna impact gani? Kama Rais anaenda Mwanza kutatua changamoto za Wananchi ambazo zimewashinda wawakilishi wake hiyo safari hata ingetumia 500ml ni gharama nafuu, na kama anaenda nje kwa gharama nafu but in return it bring foreign investment me nafikiri both zinatijaBado itakuwa nafuu naamini
SijakuelewaHaya si ndio gharama hizo!Kwani ni kwetu tuu?
Safari zote ni mihimuAnyway nafikiri njia sahihi si kupima gharama tu, lakini kupima matokeo ya safari hizo, kama je kuna impact gani? Kama Rais anaenda Mwanza kutatua changamoto za Wananchi ambazo zimewashinda wawakilishi wake hiyo safari hata ingetumia 500ml ni gharama nafuu, na kama anaenda nje kwa gharama nafu but in return it bring foreign investment me nafikiri both zinatija
Nina maanisha hizo gharama kuwa kubwa ni kwa Tanzania tuu?Maraisi wa nchi zingine gharama zikoje?Sijakuelewa
Ingekuwa ni mtihani hakika ningekupa 0.0000001 yaniUmejitahidi kumtetea Mhe. Rais, ni uzalendo huo maana bila Rais hakuna nchi inaitwa Tanzania, Rais ni nembo/alama ya nchi. Nimepata shida kidogo kwenye kikokotoo chako hivi:
Mwanza to Dsm ni 1146km, V8 inatembea 100km kwa lita 45.5, sasa ukigawa 1146km kwa 100km unapata 11.46 litres per km, yaani V8 inatumia lita 11.46 kwa km 1. (pale ulitumia neno "mzunguko" wakati ilitakiwa kuwa neno "lita" Kwahiyo V8 inatumia mafuta mengi kwa km kuliko ndege ona hii (A Boeing 747-400 with 240 000 litres of fuel carries 416 passengers about 8 800 miles (14 200 km) and fuel’s calorific value is 10 kWh per litre). Ona pia matumizi ya Bombardier (When flying this same trip at a "fuel saving" option achieving maximum cruise range speed (MRC) that yields a slower block time of 157.3 minutes, the Q400 fuel consumption is around 664 US Gallons or 4,447 Pounds (2,017 Kilograms). This yields a Q400 fuel burn of 1.107 gallons per nautical mile or 0.904 nautical miles per gallon), Bombardier inachoma lita galoni 1 kwa maili 1. V8 umesema inakimbia km 1 kwa lita 11.46. Kwa maneno mengine ni kwamba V8 inatoka Dar hadi Chalinze 108km kwa lita 45.5, hapa kuna mkanganyiko mkubwa sana wa takwimu.
Lakini umeelezea umbali wa Mwanza hadi Dar as if V8 inakimbia kwenye gear moja tu. Hata ndege inabadili kasi, na mabadiliko ya kasi au gear yanaakisi mabadiliko katika matumizi ya mafuta.
Duniani kote hakuna Rais ambaye sheria na itifaki zinamruhusu kutembea kwa gari km 1146, security ya Rais iko wapi hapo?
Duniani kote Rais na delegation yake wana itifaki ya aina ya magari ya kutumia kwenye motorcade, yanatakiwa kuwa ya kasi (zamani ilkuwa ni Benz nafikiri hata sasa pia bado Benz ni Protocol Car), lengo ni kuwahi muda na usalama. Hata ndege ya Rais inatakiwa kuwa ni ambayo inaenda kwa kasi kubwa (jet engine not propeller engine), huwezi kumtorosha Rais kwa Propeller engine.
Ila niko na wewe pamoja katika mantiki ya ziara za Rais kuwa na tija.
Kuna vitu auvijui Kwa asilimia Mia moja ,,,ungetoa hoja ya kuuliza mfano WA swali siyo kujiaminisha ,unapoteza cretivityGharama ya Rais wa Tanzania na deligate yake kusafiri ndani ya nchi ni kubwa kuliko ile yakwenda nje japo Safari zote mbili zinaumuhimu mkubwa kwa Taifa letu,