Rais wa Tanzania kufanya ziara ndani ya nchi ni ghali kuliko nje

Ni upuuzi kujaribu kuhalalisha upuuzi wa ki_vasco da gama.
 
Huyu anapiga kotekote nje na ndani


Yule alikuwa anapiga ndani tu
 
Naona kuna ukweli hapa,

Kumbe Safari zile zilikuwa na gharama kubwa sana
 
Umejitahidi kumtetea Mhe. Rais, ni uzalendo huo maana bila Rais hakuna nchi inaitwa Tanzania, Rais ni nembo/alama ya nchi. Nimepata shida kidogo kwenye kikokotoo chako hivi:
Mwanza to Dsm ni 1146km, V8 inatembea 100km kwa lita 45.5, sasa ukigawa 1146km kwa 100km unapata 11.46 litres per km, yaani V8 inatumia lita 11.46 kwa km 1. (pale ulitumia neno "mzunguko" wakati ilitakiwa kuwa neno "lita" Kwahiyo V8 inatumia mafuta mengi kwa km kuliko ndege ona hii (A Boeing 747-400 with 240 000 litres of fuel carries 416 passengers about 8 800 miles (14 200 km) and fuel’s calorific value is 10 kWh per litre). Ona pia matumizi ya Bombardier (When flying this same trip at a "fuel saving" option achieving maximum cruise range speed (MRC) that yields a slower block time of 157.3 minutes, the Q400 fuel consumption is around 664 US Gallons or 4,447 Pounds (2,017 Kilograms). This yields a Q400 fuel burn of 1.107 gallons per nautical mile or 0.904 nautical miles per gallon), Bombardier inachoma lita galoni 1 kwa maili 1. V8 umesema inakimbia km 1 kwa lita 11.46. Kwa maneno mengine ni kwamba V8 inatoka Dar hadi Chalinze 108km kwa lita 45.5, hapa kuna mkanganyiko mkubwa sana wa takwimu.

Lakini umeelezea umbali wa Mwanza hadi Dar as if V8 inakimbia kwenye gear moja tu. Hata ndege inabadili kasi, na mabadiliko ya kasi au gear yanaakisi mabadiliko katika matumizi ya mafuta.

Duniani kote hakuna Rais ambaye sheria na itifaki zinamruhusu kutembea kwa gari km 1146, security ya Rais iko wapi hapo?

Duniani kote Rais na delegation yake wana itifaki ya aina ya magari ya kutumia kwenye motorcade, yanatakiwa kuwa ya kasi (zamani ilkuwa ni Benz nafikiri hata sasa pia bado Benz ni Protocol Car), lengo ni kuwahi muda na usalama. Hata ndege ya Rais inatakiwa kuwa ni ambayo inaenda kwa kasi kubwa (jet engine not propeller engine), huwezi kumtorosha Rais kwa Propeller engine.

Ila niko na wewe pamoja katika mantiki ya ziara za Rais kuwa na tija.
 
 
RAIS azunguke kadri anavyoweza... Wananchi lazima wapate unafuu kutokana na uwepo wa binadamu wengine!!
Zunguka Mama!

NB: Lakini Cairo Misri kaenda na ATCL
Lakini si angeenda na gari tu, mbona cairo karibu sana, gari ni nafuu sana kuliko ndege[emoji23][emoji23]
Chochote utakachofanya watu hawatakosa kulaumu, jpm hakusafiri kabisa, wakalaumu, SSH hajafikisha hata safari 10,lawama,
Kanyaga twende mama tulichelewa sana sana
 
Daaah aende na gari?
 
Bado itakuwa nafuu naamini
Anyway nafikiri njia sahihi si kupima gharama tu, lakini kupima matokeo ya safari hizo, kama je kuna impact gani? Kama Rais anaenda Mwanza kutatua changamoto za Wananchi ambazo zimewashinda wawakilishi wake hiyo safari hata ingetumia 500ml ni gharama nafuu, na kama anaenda nje kwa gharama nafu but in return it bring foreign investment me nafikiri both zinatija
 
Safari zote ni mihimu
 
Ingekuwa ni mtihani hakika ningekupa 0.0000001 yani
 
Kuna vitu auvijui Kwa asilimia Mia moja ,,,ungetoa hoja ya kuuliza mfano WA swali siyo kujiaminisha ,unapoteza cretivity
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…