Rais wa Tanzania kufanya ziara ndani ya nchi ni ghali kuliko nje

Nasikia wanakula bata balaa kulala 5 star hotel, kusafiri kama si ndege ya kukodi basi ni first class..yenye presidential room status....posho $ 500 kwa siku kwa wenzangu mie sasamabosi zao balaa.

Watanzania ni matajiri sana.
 
Umesikia kwa nani we CHADEMA?

Kwanini mnakuwa waongo sana?
 
Angalia bei Bussines class dugu acha laghai.
Alivyomjinga amesahau gharama za per diem wanazojilipa kwa dollar, bado kuna advance team ya kutosha ambayo hutangulia. Yaani kwa ufupi ameandika upuuzi mtupu
 
Alivyomjinga amesahau gharama za per diem wanazojilipa kwa dollar, bado kuna advance team ya kutosha ambayo hutangulia. Yaani kwa ufupi ameandika upuuzi mtupu
Unataka uandikiwe unachotaka kusikia?
 
Mwacheni afwaudu, endelea kupiga mahesabu na ndani kwako hakuna sukari na una watoto sita
 
Safi sana hii, Tanzania nakupenda sana,

Hakuna Kama Rais Samia
 
Safi sana hii, Tanzania nakupenda sana,

Hakuna Kama Rais Samia😍😍
 
Hakika... Ndege zetu... Kusafiri nazo tupangiwe... Hizo nchi zitajuaje kuwa tunazo...!
Mama #SSH azunguke dunia hata ikiwezekana afike kwenye sayari nyingi so long as connections zinaongezeka!!
 
Mkuu hii inafanyika wapi?
 
Raisi anasafiri na airbus ya Air Tanzania- tupe hesabu basi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…