lauzi96
JF-Expert Member
- Jul 10, 2014
- 422
- 797
unamjua ally mayai au unaongea tu huyo ni officer wa wizara na watu tuliosoma vyuo vya mjini tunamjua ndio alikuwa rais wa chuo na sasa hv ana mastersTatizo shule zao ndogo mno
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
unamjua ally mayai au unaongea tu huyo ni officer wa wizara na watu tuliosoma vyuo vya mjini tunamjua ndio alikuwa rais wa chuo na sasa hv ana mastersTatizo shule zao ndogo mno
The Rise and Fall of Malinzi Jamal. Kuna mdau mmoja alinitukana humu kisa Malinzi nilipomuambia huyo ni fisadi namtafuta kwa udi na uvumba.
Huwa sina imani na graduate yeyote wa CBE.Ali mayai kasoma bhana tena ashakuwa rais wa serikali ya wanafunzi pale CBE dsm campus
Ilibidi akutukane, una ushahidi gani kuwa ni fisadi? Mbona kuitwa PCCB ni kawaida kwa watu wenye majukumu, wana maadui wengi kiasi lazima wapeleke umbea pccb. Sioni ajabu.The Rise and Fall of Malinzi Jamal. Kuna mdau mmoja alinitukana humu kisa Malinzi nilipomuambia huyo ni fisadi namtafuta kwa udi na uvumba.
Time target! Hongereni japo ni mapema mno maana yupo mdudu anayeitwa 'kuahirisha' anaweza kuingia kwenye embe hata kama limeivaAmbazo hata hivyo zimezaa matunda. Na ' Wajuvi ' wa mambo hapa ndipo tunasema " Mission Accomplished ".
Kumbe na wewe umesoma CBE, hicho chuo siwezi kumpeleka mwanangu asome.Chuo kumbakumba sana hicho.Hata divisheni ziro anadailiwa CBE!unamjua ally mayai au unaongea tu huyo ni officer wa wizara na watu tuliosoma vyuo vya mjini tunamjua ndio alikuwa rais wa chuo na sasa hv ana masters
Ngoja tusubiri tuone kwani wakati siku zote huwa unatoa majibu sahihi zaidi kuliko hisia na isitoshe nakubaliana kabisa na wewe michezo michafu kwenye chaguzi ni jambo la kawaida sana na ndio maana mwanzo nimekwambia kwamba huu inawezekana ikawa ni mchezo na unapangwa kimkakati lakini kwa bahati mbaya mkakati wenyewe unaonekana wazi kabisa lengo lake ni kumzuia Malinzi asiwe rais, na mpaka unaona mbinu za namna hii na za waziwazi zikitumika maana yake Malinzi kawashinda tayari sanasana wanajazia ushindi wake tu. Kuhusu system siamini kama system inaweza kufanya mambo yake kwa akili ndogo kiasi hiki, hapanaAcha ' Upuuzi ' Wewe ' System ' ikiamua haishindwi kitu. Sasa kwa taarifa yako ili kummaliza zaidi anaweza akahojiwa hapo na haraka haraka akapelekwa Mahakama ya Ufisadi huku akiwekwa bado ' ndani ' halafu ili ujue kuwa ' System ' imebobea / imetukuka ' Kimafia ' Kesi yake inaweza ikawa inarushwa rushwa hadi mwezi August huku akinyimwa ' dhamana ' kwa Kigezo cha Kesi yake kuwa ' nzito ' halafu huku nyuma akina Mayai na Mtemi wanasafishiwa ' njia ' na Kesi yake inaweza ikasikilizwa siku mbili au tatu baada ya Uchaguzi Mkuu wa TFF kufanyika na kumaliza na ' ikala ' Kwake.
Hii ni ' Hesabu ' kali na ya ' Kimafia ' ambayo atake asitake imeshammaliza Rais wa TFF Jamal E. Malinzi. Ili ujue na uamini ninachokuambia Mkuu hakuna ' Mdau ' yoyote wa Soka la Bongo na hasa Siasa za pale TFF aliyekuwa hajui kuwa kwa Kipindi kirefu sana ' Uhusiano ' kati ya Rais wa TFF Malinzi na Katibu Mkuu wake Mwesigwa ulikuwa ni ' mbaya ' na ilifikia muda wawili hawa walikuwa hata hawaongei bali walikuwa wakiongea kwa kutumia tu Emails na kama hii haitoshi kuna muda ulifika Katibu Mkuu wa TFF alikuwa ' akisusa ' kufanya Kazi.
Sasa ili ujue kuwa ule msemo wa ' Wahenga ' usema ' Kikulacho Ki nguoni mwako ' haukuanzishwa kwa bahati mbaya bali una maana yake jiulize kama hawa Wawili Malinzi na Mwesigwa walikuwa ni ' Maadui ' iweje ghafla tu wawe ' Marafiki ' kiasi cha hadi wao wawili kukubaliana ' Kushirikiana ' kuelekea Uchaguzi Mkuu ujao wa TFF?
Hapana chezea ' System ' Wewe!
Anakurupuka tuu huyu! Hizi habar tangu jana usiku zipo hewan, na Takukuru wamethibitisha kumkamata kwa uchunguz wa mambo fulanUnaushahidi wowote wa kukanusha hili au unaleta utetezi usikuwa na tija? Mpaka sasa ni tetesi na habari hizo ziko kila kona basi ajitokeze akanushe sio kukutuma wewe bila data
Malinzi siyo kaanza kutoa rushwa bali alikuwa na matumizi mabaya ya ofice akiwa madarakani elewa hivyo mkuuUmeongea uhalisia!
Definitely, wanataka asigombee. Lakini FIFA ina taratibu zake! Let us wait and see. Si mara ya kwanza kumuita huko, sema hili ni la uchaguziHizi ni figisu tu hakuna kitu hapo
Ally Mayai alikuwa kepteni wa timu gani?Habari njema kwa wana msimbazi.....
Habari mbaya kwa wana jangwani......
ANGUKO LA YANGA LINAKWENDA SAMBAMBA NA VIBARAKA WAO PALE TIFUA TIFUA.....
KILA MTU ATAVUNA KILE ALICHOKIPANDA....
CELEBRATIONS TIME.....
![]()
Hapo ndio patakuwa pagum,yatatokea kama yaliyotokea ya Ndolanga na usishangae tukafyata mkiaDefinitely, wanataka asigombee. Lakini FIFA ina taratibu zake! Let us wait and see. Si mara ya kwanza kumuita huko, sema hili ni la uchaguzi
unamjua ally mayai au unaongea tu huyo ni officer wa wizara na watu tuliosoma vyuo vya mjini tunamjua ndio alikuwa rais wa chuo na sasa hv ana masters
Time target! Hongereni japo ni mapema mno maana yupo mdudu anayeitwa 'kuahirisha' anaweza kuingia kwenye embe hata kama limeiva
Kumbe na wewe umesoma CBE, hicho chuo siwezi kumpeleka mwanangu asome.Chuo kumbakumba sana hicho.Hata divisheni ziro anadailiwa CBE!