Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Je FIFA inaweza kuingilia maswala ya ndani ya nchi mfano wizi wa kiongozi wa mpira?Does FIFA operate that way? Let us wait and see
Wana taratibu zao! Tafuta utaona.Je FIFA inaweza kuingilia maswala ya ndani ya nchi mfano wizi wa kiongozi wa mpira?
Sheria ya kuzuia na kupambana na rushwa haimuachi mtu..Hata kama FIFA watamuachia lakini sheria za nchi zitamshughulikia.Exactly, FIFA does not operate that way. Waliwahi kumfanyia figisu ikaenda FIFA wakatupilia mbali upuuzi akashinda!
Hizi ni figisu za wazi na siyo mara ya kwanza kumuita huko, several times. Hili limekuwa la nguvu kwa ajili ya uchaguzi.
You should not condone dictatorshipHahahaahaha nendeni sasa mkamuekee dhamana cheza na serikal awamu ya 5...shubaaamiit
Hujui unaloliongea, anayepanga ligi ni kamati husika na si mwenyekiti pekee yake,. ondoa mtima nyongo usio na sababu ya msingi.daaah aende tu huyu jamaa. alishindwa vibaya mno pale TFF. hata ratiba ya ligi tu ilimshinda kupanga.
Sorry bob! Kiherehere cha kumtibua nyongo mtani hicho.Picha ya Marehemu Godfrey Boni..
Inamaanisha nini hapa?
Si mpaka uthibitishe? Mnashangilia nini? Na hakuna uthbitisho ni figisu tuSheria ya kuzuia na kupambana na rushwa haimuachi mtu..Hata kama FIFA watamuachia lakini sheria za nchi zitamshughulikia.
Basi anafaa,ata k ama ana kadploma kanatosha kabisaAli mayai kasoma bhana tena ashakuwa rais wa serikali ya wanafunzi pale CBE dsm campus
nimezitafuta sijaona walipo na uwezo wa kumtetea/kuingilia mhalifu/mtuhumiwa anayeshikiliwa na mamlaka za nchi yake, ila hawako tayar kuona serikali inaingilia masuala ya mpira. Rejea sakata la Blatter, huwa fifa haiwezi kusimama kumtetea mtu asihukumiwe au asikamatwe kama kuna sheria kavunja.......kuna masakata ya kina Messi, Ronaldo, Neymar kuitwa kortini kwa kesi za kodi, na wapo wacheaji pia wamefungwa gerezeni kwa makosa yao ila hakuna siku hata moja FIFA wametetea au kuingilia maswala hayo.Wana taratibu zao! Tafuta utaona.
Humfahamu Ally Mayay wewe, Yule alikuwa Mwalimu kwa Taaluma yake, baadae akaenda kujiendeleza pale CBE ni afisa fulani kwenye Taasisi X na mpira ni kipaji toka utoto wake akiwa na Polisi Shirati.Shule sio kigezo.
1. Sep Blatter hakuwa na shule
2. Uongozi ni jinsi unavyo endesha Taasisi unayoiongoza huku ukiwa na dhamira ya kweli moyoni wala sinkwa mtazamo wa kujinufaisha binafsi.
3. Mbona kule sifa ni kusoma na kuandika na bado watu wanaongoza!!
4. Ally Mayai anafaa sana kwa sababu, secretariet ndio mtendaji, yeye anakuwa ni figure tu.
Ww ni tomasoHii taarifa ni ya uongo ulio dhahiri, Malinzi sio mjinga aanze kuhonga mapema namna hii na wakati hata mchujo wa wagombea haujakamilika wala kampeni kuanza. Kumbukeni wajumbe wanaopiga kura ni wengi wao ni wenyeviti wa mikoa, ni lini wamekuja Dar mpaka waanze kuhongwa na Malinzi? Uchaguzi unafanyika August Malinzi aanze kuhonga leo ana pesa kiasi gani? Kwa taarifa yenu chaguzi hizi rushwa huwa inatembea siku wajumbe wanafika kutoka mikoani na siku ya kupiga kura na sio sasa!
ALLY Mayai unajua alichosoma lkn? nafas ya rais wa Tifutifua unajua cfa zake?au unaropoka ana shule ndogo?Tatizo shule zao ndogo mno
kwa akili yako ile kamati inajichagua yenyewe. na kamati zilizo chini ya Rais kama zinakosea kila siku who's to blame ?.Hujui unaloliongea, anayepanga ligi ni kamati husika na si mwenyekiti pekee yake,. ondoa mtima nyongo usio na sababu ya msingi.