AmernHuyu Mutungi angepigwa na radi na yeye akafie mbali
SoftwareHuyu Mutungi angepigwa na radi na yeye akafie mbali
Jamaa kapiga ndaniAkitolea mfano kutoka NCCR Mageuzi alizungumzia jinsi Ofisi ya Msajili inavyohusika kuvuruga Vyama vya kweli vya upinzani, sasa tunashuhudia kinachoendelea CHADEMA, ambapo amesema;
"Shetani hawezi kumfukuza Pepo, hakuna Ufalme unaojifitini. Msajili anajua kwanini Vyama vipo."
"Nimekuuliza, kuna Vyama havijawahi kufanya Mikutano Mikuu. Kuna Vyama havijawahi kufanya Mkutano Mkuu hata siku moja lakini bado vipo na vinatembea. Kuna Vyama viongozi wake wamemaliza muda wao. Kuna Chama kina Katibu tu, hakina Mwenyekiti; kingine kina Mwenyekiti tu, hakina Katibu. Umeshawahi kumsikia Msajili wa Vyama akienda huko?"
"Utamkuta akizunguka NCCR wakitaka kufufuka, anaipiga nyundo. Anazunguka CHADEMA kuwachochea, lakini uzuri CHADEMA wamejiimarisha vizuri, na ndiyo maana mara nyingi wameonekana wakipangua."
"Wewe unaweza kuona Msajili wa Vyama ambavyo kuna Wabunge waliotangazwa na Mahakama kwamba si Wabunge, wakaendelea kuwepo Bungeni, halafu ukasema hii ni Ofisi ya Msajili wa Vyama? Anajiita mlezi wa Vyama, lakini yule si mlezi wa Vyama ni Ofisi ya muuwaji wa Vyama vya ukweli vya upinzani."
Msajili ashikilie hapohapo hao vibaraka wanataka kuuza nchi yetu kwa vipande vya fedha wadhibitiwe. Chadema iliyojiimarisha ni ipi hii kila siku wanachama wanaikimbia kwa mamia? Mpk Oktoba kuna chadema tena? Hao nyumbu ni afadhali ya mwehu.Akitolea mfano kutoka NCCR Mageuzi alizungumzia jinsi Ofisi ya Msajili inavyohusika kuvuruga Vyama vya kweli vya upinzani, sasa tunashuhudia kinachoendelea CHADEMA, ambapo amesema;
"Shetani hawezi kumfukuza Pepo, hakuna Ufalme unaojifitini. Msajili anajua kwanini Vyama vipo."
"Nimekuuliza, kuna Vyama havijawahi kufanya Mikutano Mikuu. Kuna Vyama havijawahi kufanya Mkutano Mkuu hata siku moja lakini bado vipo na vinatembea. Kuna Vyama viongozi wake wamemaliza muda wao. Kuna Chama kina Katibu tu, hakina Mwenyekiti; kingine kina Mwenyekiti tu, hakina Katibu. Umeshawahi kumsikia Msajili wa Vyama akienda huko?"
"Utamkuta akizunguka NCCR wakitaka kufufuka, anaipiga nyundo. Anazunguka CHADEMA kuwachochea, lakini uzuri CHADEMA wamejiimarisha vizuri, na ndiyo maana mara nyingi wameonekana wakipangua."
"Wewe unaweza kuona Msajili wa Vyama ambavyo kuna Wabunge waliotangazwa na Mahakama kwamba si Wabunge, wakaendelea kuwepo Bungeni, halafu ukasema hii ni Ofisi ya Msajili wa Vyama? Anajiita mlezi wa Vyama, lakini yule si mlezi wa Vyama ni Ofisi ya muuwaji wa Vyama vya ukweli vya upinzani."
Haikuuzwa bado!?Msajili ashikilie hapohapo hao vibaraka wanataka kuuza nchi yetu kwa vipande vya fedha wadhibitiwe. Chadema iliyojiimarisha ni ipi hii kila siku wanachama wanaikimbia kwa mamia? Mpk Oktoba kuna chadema tena? Hao nyumbu ni afadhali ya mwehu.
Msajili ashikilie hapohapo hao vibaraka wanataka kuuza nchi yetu kwa vipande vya fedha wadhibitiwe. Chadema iliyojiimarisha ni ipi hii kila siku wanachama wanaikimbia kwa mamia? Mpk Oktoba kuna chadema tena? Hao nyumbu ni afadhali ya mwehu.
Wewe mbona hukumbushi. Kutupa lawama rahisiMdude tunemsahau kabisa watz hii laana italeta maafa kwetu sote na vizazi 299
No Reforms No Election 🔥🔥🔥Msajili ashikilie hapohapo hao vibaraka wanataka kuuza nchi yetu kwa vipande vya fedha wadhibitiwe. Chadema iliyojiimarisha ni ipi hii kila siku wanachama wanaikimbia kwa mamia? Mpk Oktoba kuna chadema tena? Hao nyumbu ni afadhali ya mwehu.
Unazungumzia bibi tozo alivyo uza bandari au ?Msajili ashikilie hapohapo hao vibaraka wanataka kuuza nchi yetu kwa vipande vya fedha wadhibitiwe. Chadema iliyojiimarisha ni ipi hii kila siku wanachama wanaikimbia kwa mamia? Mpk Oktoba kuna chadema tena? Hao nyumbu ni afadhali ya mwehu.