PreGE2025 Rais wa TLS Adv Mwabukusi amkaanga Msajili wa Vyama vya Siasa Jaji Mutungi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Msajili ashikilie hapohapo hao vibaraka wanataka kuuza nchi yetu kwa vipande vya fedha wadhibitiwe. Chadema iliyojiimarisha ni ipi hii kila siku wanachama wanaikimbia kwa mamia? Mpk Oktoba kuna chadema tena? Hao nyumbu ni afadhali ya mwehu.
Hivi wale wanaovalishwa tishet, kofia za kijani kisha kupindishwa kwenye malori na kupelekwa kwenye mikutano ya CCM, huwa ni wanachama wake?? Hizi drama zenu tumeshazizoea.
 
Mwabukusi anakosa FOCUS. Yaonekana aligombea uRais wa TLS bila kujiandaa. Bado dhamira yake inamuongoza kufanya shughuli za siasa kuliko shughuli za kitaaluma.

Poleni TLS
 
Wee 🐕🚮🚮 kitendo cha kumkemea Mutungi kutochukua hatua stahiki za kisheria dhidi ya ukiukwaji wa sheria za vyama vya siasa siyo kazi ya TLS!
 
Nenda ikasome tena malengo ya TLS Kwa mujibu wa kifungu cha 4 cha Sheria ya TLS sura ya 307
 
Kumwamini Mwafrika ni hatari sana, wakati mwingine wazungu wanatuangalia wanacheka sana
 
Mwabukusi anakosa FOCUS. Yaonekana aligombea uRais wa TLS bila kujiandaa. Bado dhamira yake inamuongoza kufanya shughuli za siasa kuliko shughuli za kitaaluma.

Poleni TLS
Hilo alilolisema Dr. Mwambukusi sio la kisheria kweli? Lakini pia, siasa ni nini na sheria ni kitu gani? You can't differentiate between the two, halafu kumbuka jaji Mutungi na Dr. Mwambukusi wote ni wana sheria
 
Msajili ashikilie hapohapo hao vibaraka wanataka kuuza nchi yetu kwa vipande vya fedha wadhibitiwe. Chadema iliyojiimarisha ni ipi hii kila siku wanachama wanaikimbia kwa mamia? Mpk Oktoba kuna chadema tena? Hao nyumbu ni afadhali ya mwehu.
Naona unaumia sana yani.

No Reforms No Election.

Ova!!!!
 
MamaSamia2025 atamtumia Mafwele na watu wake muda SI mrefu
 
Hivi hii TLS ni ya chadema?nauuliza tu mwenye kufahamu anijibu.
 
Hilo alilolisema Dr. Mwambukusi sio la kisheria kweli? Lakini pia, siasa ni nini na sheria ni kitu gani? You can't differentiate between the two, halafu kumbuka jaji Mutungi na Dr. Mwambukusi wote ni wana sheria
Mwabukusi amechagua upande wa kutetea. Moja kwa moja hajaficha mapenzi yake kwa NCCR
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…