Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 16,879
- 31,253
Na wewe tukuuulize kwa nini NATO miaka na miaka inaikomalia UKrain na sio Nchi zengine zilizojirani na UrusiJamaa anafanya proganda kwa kiasi flani, kwani Ukraine ndiyo nchi pekee jirani na Rusia ambaye akitaka kujiunga na NATO?
RUSIA amekosea sana kumvamia Ukraine kwa ukweli, wakija kufanya analysisi wanaitangazia dunia kua walikosea sana.
Mkuu vipi zile zilizopigwa kwa kutuaminisha dunia nzima kuwa Saddam ana silaha za maangamizi, halafu walivyokwisha muua na kuiharibu Iraq hazikuonekana silaha hizo?
We unahisi ni sababu ya kijinga?? Rudi kasome tenaNimesoma historia..sijawai kusoma popote Vita iliyopiganwa kwasababu za kijinga Kama hii..Russia Ni watu wa hovyo Sana
I daubt of no 1 is gon' be happening so sooner. Kwa jinsi nilivyomsikiliza rais wa Ukraine hotuba yake ya mwisho Ulaya na Marekani (NATO) imewapa nguvu kutoka katika "huruma"Hapa kuna mawili;
1. US & NATO wanamwandalia Russia bonge la surprise.
2. US & NATO wanapoteza utawala wao Duniani.
Apambane hadi dakika ya mwisho kama Muamar Gaddafi. Atorokee wapi sasa wakati ameshazungukwa?!Anawalilia wazungu wa magharibi anadhani watamsaidia?
Dubu lishateka nchi yuko chini ya ulinzi atafute namna ya kutoroka
We bado mtoto. Mambo ya geopolitics ni mlima kwako.Jamaa anafanya proganda kwa kiasi flani, kwani Ukraine ndiyo nchi pekee jirani na Rusia ambaye akitaka kujiunga na NATO?
RUSIA amekosea sana kumvamia Ukraine kwa ukweli, wakija kufanya analysisi wanaitangazia dunia kua walikosea sana.
Acha ulongoHe is just greedy for power….Baada ya hapa atawatafuta wengine anaopakana nao wanyonge arudishe tena U.S.S.R .Kwaio China naye Aivamie Taiwan akitoa sababu kwamba Marekani atajiattach .Au Marekani naye amvamie Mexico kwasababu kama za putin?
Watu wanadouble standard hadi sio poa yaan wakipigwa na kuuawa middle east mnaona sawa ila wazungu ndio mnajali ...eeehhh huu uharibifu hapo chin alifanya nani???Mkuu vipi zile zilizopigwa kwa kutuaminisha dunia nzima kuwa Saddam ana silaha za maangamizi, halafu walivyokwisha muua na kuiharibu Iraq hazikuonekana silaha hizo?
[emoji23] [emoji23] Amerika wanauwa Iraq ni wema, nyinyi si mlikua mnafurahi humu, endeleeniNimesoma historia..sijawai kusoma popote Vita iliyopiganwa kwasababu za kijinga Kama hii..Russia Ni watu wa hovyo Sana
[emoji23] [emoji23]Kiduku anasikilizia tu
Gadafi pia aliongea kama hivyo wamarekani wabuza wakamcheka, leo haohao wanajitia kukerwa si unafiki huuDah ila jamani yaani hata huzuni hamsikii kwa jinsi rais Zelensky anavyoongea kwa huzuni?
Jaalia wewe mshikaji wako kakupigia simu tena ni video call halafu akueleza huenda hii ndio mara yako ya mwisho kumuona akiwa hai.
Ramli chonganishi, Lugha ya kukata tamaaHapa kuna mawili;
1. US & NATO wanamwandalia Russia bonge la surprise.
2. US & NATO wanapoteza utawala wao Duniani.
Basi Magharibi wamepoteza utawala wao Duniani.I daubt of no 1 is gon' be happening so sooner. Kwa jinsi nilivyomsikiliza rais wa Ukraine hotuba yake ya mwisho Ulaya na Marekani (NATO) imewapa nguvu kutoka katika "huruma"
Nimesoma historia..sijawai kusoma popote Vita iliyopiganwa kwasababu za kijinga Kama hii..Russia Ni watu wa hovyo Sana