Rais wa Ukraine awaambia NATO: 'Hii yaweza kuwa mara yenu ya mwisho kuniona nikiwa hai!'

Rais wa Ukraine awaambia NATO: 'Hii yaweza kuwa mara yenu ya mwisho kuniona nikiwa hai!'

Ukraine sawa hawez kushinda hiii vita ila rais wao badala ya kuwapa morali wanajesh wake yeye kaz kulalamika tu aoneshe jitihada za kupigana sasa wao wanaona majeshi ya urussi yanakuja na yanaingia wametulia tu hata hawajafanya chochote kiongoz wao mzembe tu
 
The Taliban is closely following the military conflict between Russia and Ukraine and calls on the parties to dialogue. The Taliban authorities called on the warring parties to resolve the conflict by peaceful means. https://t.co/wcRCQdliNO
Dah i'la Taliban Ni miamba asee. Miaka 21 vitani na Marekani so mchezo. Hadi adui kakimbiA
 
1645875323533.png
 
Ha ha haa...Ze Comedian keshasepa.

Rais Putin ni hatari. Wachambuzi wa maswala ya vita wanamuelezea kuwa hana historia ya kushindwa vita alizopigana ndani ya milongo miwili (two decades) aliyokaa madarakani. Kisha wanaelezea namna atakavyoshinda vita ya Ukraine

 
ninachoamini, kwa mwanajeshi mwenye uwezo wa kivita, ukiona umezidiwa, unatakiwa kukimbia au kurudi nyuma ujipange upya. hivyo ndivyo wanajeshi wote wanajua. ila shida kwa ukraine wengi hawajapitia jeshini, wamepewa tu silaha nauongozi. dogo akimbie kabla putin hajamkata kichwa.
 
Putin anakusanya majeshi na zana za kivita mpakani mwa Poland.

Inadhaniwa kuwa jamaa (Putin) anapanga kwenda hadi Poland.

View attachment 2131366
Sio kweli,
Anapeleka majeshi mpakani mwa Poland kujilinda na vikosi vya NATO kutokea upande wa Poland.

Maana wengi washatangaza misaada ya kivita,na yote wamesema itapitia Poland.
Hungary na wengine wamekataa kushiriki.

Kwaiyo Poland nae akiingilia huu ugomvi, yanamkuta yanayomkuta Ukraine kwa Sasa.

Ngoja tuone

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mambo ni mawili,
1. Hujui unachoandika hapa.
AU
2. Unajitoa ufahamu kwa kutokujishughulisha hata kusomasoma japo.

Russia na USA ni majirani kabisa. Tena wa kugawana mpaka.(huko Alaska)
Okrug District
 
Mwehu Sana huyu,unaanzaje kuwaamini wamarekani na NATO yao!!? hujui wale ni wanafiki na wachonganishi namba moja duniani!!?? Haka ka rais ,wakikamata wasikaue wakabinye pumbu mpaka zisagike ,halafu wakaache !! kajifunze kuacha kiherehere na dezo dezo za mmalekani
 
Back
Top Bottom