Nimesoma historia..sijawai kusoma popote Vita iliyopiganwa kwasababu za kijinga Kama hii..Russia Ni watu wa hovyo Sana
Dah i'la Taliban Ni miamba asee. Miaka 21 vitani na Marekani so mchezo. Hadi adui kakimbiAThe Taliban is closely following the military conflict between Russia and Ukraine and calls on the parties to dialogue. The Taliban authorities called on the warring parties to resolve the conflict by peaceful means. https://t.co/wcRCQdliNO
kwaio kwako ni sahihi Putin kuvamia ukraine na kuua raia wasio na hatia?kila mmoja anavamia kwasababu zake usitake sababu zifanane MKUU
Sawa mkweliAcha ulongo
Ni kama Putin kachanganyikiwa vileNimesoma historia..sijawai kusoma popote Vita iliyopiganwa kwasababu za kijinga Kama hii..Russia Ni watu wa hovyo Sana
Kwa sababu tu ametoa maoni yake ndiyo unamuona hana akili? Hivi Jf ndiyo inataka kuwa na member wa hovyo kiasi hiki?Huna akili
mbaya sana,na NATO hawakulalamika chochote.Mkuu vipi zile zilizopigwa kwa kutuaminisha dunia nzima kuwa Saddam ana silaha za maangamizi, halafu walivyokwisha muua na kuiharibu Iraq hazikuonekana silaha hizo?
Ha ha haa...Ze Comedian keshasepa.
Sio kweli,Putin anakusanya majeshi na zana za kivita mpakani mwa Poland.
Inadhaniwa kuwa jamaa (Putin) anapanga kwenda hadi Poland.
View attachment 2131366
Putin 'has sights beyond Ukraine' as Russian forces amass on Polish border
'He's made clear that he'd like to reconstitute the Soviet empire.'metro.co.uk
KABISA mkuu[emoji2][emoji109]Muda wa kiduku Kim jong un na yeye kutest makombora yake siyo kila siku anatestia baharini TU
Chaka lishapatikana Ukraine
Okrug DistrictMambo ni mawili,
1. Hujui unachoandika hapa.
AU
2. Unajitoa ufahamu kwa kutokujishughulisha hata kusomasoma japo.
Russia na USA ni majirani kabisa. Tena wa kugawana mpaka.(huko Alaska)
Mwishowe wakakir hadharan kuwa walikosea ilhali nchi walishaiharibu na kuzalisha walemavu &mayatima lundoMkuu vipi zile zilizopigwa kwa kutuaminisha dunia nzima kuwa Saddam ana silaha za maangamizi, halafu walivyokwisha muua na kuiharibu Iraq hazikuonekana silaha hizo?
Namba 2 ni sahihiHapa kuna mawili;
1. US & NATO wanamwandalia Russia bonge la surprise.
2. US & NATO wanapoteza utawala wao Duniani.