Rais wa Vatican: Papa Leo XIV sasa ni raia wa nchi TATU!

Rais wa Vatican: Papa Leo XIV sasa ni raia wa nchi TATU!

and 998 others

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Posts
28,477
Reaction score
40,278
Baba Mtakatifu Dr Robert Prevost -PhD (Papa Leo XIV) ni raia wa nchi zifuatazo;

1. Marekani (by birth),
2. Peru (by naturalization),
3. Vatican (Rais na Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani).

IPO haja na sisi tukubali uraia Pacha kuvuna vipaji vya huko duniani eg Bill Gates, Elon Musk, Mark Zuckerberg, Sheikh Rasheed Ahmad, Mukesh Ambani, Ernest Makulilo n.k

NB Papa Leo XIV ana PhD ya kusomea.
 
Baba Mtakatifu Robert Prevost (Papa Leo XIV) NI raia wa nchi zifuatazo;

1. Marekani,
2. Peru,
3. Vatican (Rais na Mkuu wa Kanisa Katoliki duniani).

**IPO haja na sisi tukubali uraia Pacha kuvuna vipaji vya huko duniani eg Bill Gates, Elon Musk, Mark Zuckerberg n.k
Kuna nchi Vatican?
 
IPO haja na sisi tukubali uraia Pacha kuvuna vipaji vya huko duniani
Tuna changamoto nyingi mno, sehemu kubwa ya watawala wetu hawajakaa sawa vichwani
 
Back
Top Bottom