Wa angani
JF-Expert Member
- Aug 1, 2020
- 298
- 699
Hapa nimecheka mara tatu kwa nguvu sanaOstaz punguza jazba. Jipige kifua mara TATU sema Mimi nina chuki binafsi na Vatican x3
Hapa nimecheka mara tatu kwa nguvu sanaOstaz punguza jazba. Jipige kifua mara TATU sema Mimi nina chuki binafsi na Vatican x3
Hauna link ambayo imeandikwa kwa ile lugha ya makorokocho (Yaani maandishi yanatoka kulia kwenda kushoto)?Head of State:
The Pope is the head of state of Vatican City.
Legislative Body:
The Pontifical Commission for Vatican City State is the legislative branch.
Composition:
The Commission consists of a president (who is also the President of the Governorate of Vatican City State and the de facto head of government), and six cardinals appointed by the Pope.
kwa msaada zaidi soma hapa sheikh
Pontifical Commission for Vatican City State - Wikipedia
ila kama lugha ni changamoto sema upate tafsiri
Cardinal yeyote ni Raia wa Vatican. Hivyo uraia wake wa Vatican ulianza alipokuwa Cardinal 2023Baba Mtakatifu Robert Prevost (Papa Leo XIV) NI raia wa nchi zifuatazo;
1. Marekani (by birth),
2. Peru (by naturalization),
3. Vatican (Rais na Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani).
**IPO haja na sisi tukubali uraia Pacha kuvuna vipaji vya huko duniani eg Bill Gates, Elon Musk, Mark Zuckerberg, Sheikh Rasheed Ahmad, Mukesh Ambani n.k
Serikali ya Papa ndiyo serikali ya kwanza na muundo wake umeigwa na karibu serikali zote Ulimwenguni. Hata kuna Chief Secretary, mawaziri etc. Cardinal Rugambwa alianza kama Afisa wa idara, naibu katibu Mkuu hadi katibu mkuu wa wizara.Waziri wake na nani? Nitajie mawaziri 6 na wizara zao
Kwanini majina yanabadilikabadilikaRobert Prevost (Papa Leo XIV)
Ugaidi wako hauwezi kubadilisha ukweli wa kihistoriaWaziri wake na nani? Nitajie mawaziri 6 na wizara zao
MHURUMIENI HADI ATOKE KUSWALI, HALAFU TUMUELIMISHEUtatuabisha mkuu!!!Na Elimu yako hujui kama Vatican ni nchi?
Jibu hoja mpuuzi wewe. Taja mawaziri 5 wa hio nchiUgaidi wako hauwezi kubadilisha ukweli wa kihistoria
Jumaa MakboolMHURUMIENI HADI ATOKE KUSWALI, HALAFU TUMUELIMISHE
Si umeshajibiwa ndugu yetu katika imani 😂😂😂 au lugha ni changamoto?Jibu hoja mpuuzi wewe. Taja mawaziri 5 wa hio nchi
Mkuu wa Nchi: Papa ndiye mkuu wa Nchi ya Vatican.Jibu hoja mpuuzi wewe. Taja mawaziri 5 wa hio nchi
Sijibizani na mashoga wa kizanzibariJibu hoja mpuuzi wewe. Taja mawaziri 5 wa hio nchi
Kwa akili yako ndogo nchi lazima iwe na Waziri ndio itaitwa nchi, umiza fuvu kidogo uende hata WikipediaWaziri wake na nani? Nitajie mawaziri 6 na wizara zao
Before you ask , if you are not sure please google! Thank you!Kuna nchi Vatican?
binafsi kinachoniumiza ilikuwaje trump avae kipapa ,na moshi mweupe utoke kwa mmarekani
NdioKuna nchi Vatican?