kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 18,577
- 23,171
na imetokeaTrump hajawahi kuvaa kipapa. Bali alitamka kuwa angependa kuwa Papa. Baada ya kusema hivyo wataalam wa IT kwa kumkejeli, wakatengeneza picha ya Trump akiwa kwenye mavazi ya kipapa.