Jibu hojaOstaz mbona hasira?
Jibu hojaOstaz mbona hasira?
Hakuna hoja zaidi ya KiojaJibu hoja
Ili vikunufaishe nini mkuu?Taja mawaziri 6 ya serekali ya Vatican na wizara zao
Inamaana kashafutiwa Zambi mala hii kawa mtakatifu?Baba Mtakatifu Robert Prevost (Papa Leo XIV) NI raia wa nchi zifuatazo;
1. Marekani (by birth),
2. Peru (by naturalization),
3. Vatican (Rais na Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani).
**IPO haja na sisi tukubali uraia Pacha kuvuna vipaji vya huko duniani eg Bill Gates, Elon Musk, Mark Zuckerberg, Sheikh Rasheed Ahmad, Mukesh Ambani n.k
Taja nchi duniani ambayo haina waziri hata mmojaIli vikunufaishe nini mkuu?
Head of State:Jibu hoja
TakbiirHead of State:
The Pope is the head of state of Vatican City.
Legislative Body:
The Pontifical Commission for Vatican City State is the legislative branch.
Composition:
The Commission consists of a president (who is also the President of the Governorate of Vatican City State and the de facto head of government), and six cardinals appointed by the Pope.
kwa msaada zaidi soma hapa sheikh
Pontifical Commission for Vatican City State - Wikipedia
ila kama lugha ni changamoto sema upate tafsiri
mawaziri wapo huko vatican, ndio hao makadinali.Balozi hana waziri?
huyo hajui kusoma hiyo reference uliyompaHead of State:
The Pope is the head of state of Vatican City.
Legislative Body:
The Pontifical Commission for Vatican City State is the legislative branch.
Composition:
The Commission consists of a president (who is also the President of the Governorate of Vatican City State and the de facto head of government), and six cardinals appointed by the Pope.
kwa msaada zaidi soma hapa sheikh
Pontifical Commission for Vatican City State - Wikipedia
ila kama lugha ni changamoto sema upate tafsiri
Poor himhuyo hajui kusoma hiyo reference uliyompa
Watoto wa mnyaazi wanakuwaga wasumbufu hata kwenye sehemu za kutumia akili ya kawaida tuu😂😂huyo hajui kusoma hiyo reference uliyompa
Umeona wapi nchi ya aina hio?mawaziri wapo huko vatican, ndio hao makadinali.
HatariiBaba Mtakatifu Robert Prevost (Papa Leo XIV) NI raia wa nchi zifuatazo;
1. Marekani (by birth),
2. Peru (by naturalization),
3. Vatican (Rais na Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani).
**IPO haja na sisi tukubali uraia Pacha kuvuna vipaji vya huko duniani eg Bill Gates, Elon Musk, Mark Zuckerberg, Sheikh Rasheed Ahmad, Mukesh Ambani n.k
President Leo XIVOstaz mbona hasira?
Ni state kamili yaani ni dola inaitwa Holy See katika she ria za kimataifa.Kuna nchi Vatican?
Brother hebu hata jaribu kujielimisha mwenyewe. Una Internet , vitu vingine sio vya kuuliza. Kama ni information , u cab just get it on ur palm kuondoa ujinga ambao sio dhambi kuwa nao.Umeona wapi nchi ya aina hio?
Update elimu yako, vatican is a unique place na ina mawaziri watatu secretary of state ( kwa huku anaweza kuwa waziri mkuu), secretary of relation with other state,President of the Pontifical Commission for Vatican City State.Umeona wapi nchi ya aina hio?
Wabillah TaufiqUpdate elimu yako, vatican is a unique place na ina mawaziri watatu secretary of state ( kwa huku anaweza kuwa waziri mkuu), secretary of relation with other state,President of the Pontifical Commission for Vatican City State.
Na wana vyombo vya usalama
Kwa taarifa yako ni nchi huru ilikuwa established 1929
Kajifunze uwe upate maarifa , dunia ina mambo mengi
Kuna aina nyingi za serikali rudia civics form 3 otherwise ulikimbia shuleJibu hoja