and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 28,477
- 40,278
Hapo kwenye uraia pacha ndio kimbembeBaba Mtakatifu Robert Prevost (Papa Leo XIV) NI raia wa nchi zifuatazo;
1. Marekani,
2. Peru,
3. Vatican (Rais na Mkuu wa Kanisa Katoliki duniani).
**IPO haja na sisi tukubali uraia Pacha kuvuna vipaji vya huko duniani eg Bill Gates, Elon Musk, Mark Zuckerberg n.k
Kuna nchi Vatican?Baba Mtakatifu Robert Prevost (Papa Leo XIV) NI raia wa nchi zifuatazo;
1. Marekani,
2. Peru,
3. Vatican (Rais na Mkuu wa Kanisa Katoliki duniani).
**IPO haja na sisi tukubali uraia Pacha kuvuna vipaji vya huko duniani eg Bill Gates, Elon Musk, Mark Zuckerberg n.k
Vatican ni nchiKuna nchi Vatican?
Naunga mkono hojaBaba Mtakatifu Robert Prevost (Papa Leo XIV) NI raia wa nchi zifuatazo;
1. Marekani,
2. Peru,
3. Vatican (Rais na Mkuu wa Kanisa Katoliki duniani).
**IPO haja na sisi tukubali uraia Pacha kuvuna vipaji vya huko duniani eg Bill Gates, Elon Musk, Mark Zuckerberg n.k
Waziri wake na nani? Nitajie mawaziri 6 na wizara zaoVatican ni nchi
Ostaz punguza jazba. Jipige kifua mara TATU sema Mimi nina chuki binafsi na Vatican x3Waziri wake na nani? Nitajie mawaziri 6 na wizara zao
Nenda ubalozini kwao hapo hapo Zanzibar ulipo 😁Waziri wake na nani? Nitajie mawaziri 6 na wizara zao
Utatuabisha mkuu!!!Na Elimu yako hujui kama Vatican ni nchi?Kuna nchi Vatican?
Tuna changamoto nyingi mno, sehemu kubwa ya watawala wetu hawajakaa sawa vichwaniIPO haja na sisi tukubali uraia Pacha kuvuna vipaji vya huko duniani
Utatuabisha mkuu!!!Na Elimu yako hujui kama Vatican ni nchi?
Aisee. Kwani Tanganyika watazindukaCCM hawawezi kukubali uraia pacha make wanadhani watapokonywa tongue mdomoni.
Ndio ipo na ina balozi Nchi 184 Duniani ikiwamo Tanzania.Kuna nchi Vatican?
huoni wana mabalozi duniani?Waziri wake na nani? Nitajie mawaziri 6 na wizara zao
Taja mawaziri 6 ya serekali ya Vatican na wizara zaoNdio ipo na ina balozi wake Tanzania.
Balozi hana waziri?huoni wana mabalozi duniani?
Ostaz mbona hasira?Balozi hana waziri?