Rais wa Vatican: Papa Leo XIV sasa ni raia wa nchi TATU!

Hauna link ambayo imeandikwa kwa ile lugha ya makorokocho (Yaani maandishi yanatoka kulia kwenda kushoto)?
Maana naamini hiyo link uliyomtumia ambayo imeandikwa Kikristu hawezi kuelewa mtaendelea kubishana tu.
Atakuja kukwambia umtajie CDF na IGP wa Vatican ni wakina nani
 
Cardinal yeyote ni Raia wa Vatican. Hivyo uraia wake wa Vatican ulianza alipokuwa Cardinal 2023
 
Waziri wake na nani? Nitajie mawaziri 6 na wizara zao
Serikali ya Papa ndiyo serikali ya kwanza na muundo wake umeigwa na karibu serikali zote Ulimwenguni. Hata kuna Chief Secretary, mawaziri etc. Cardinal Rugambwa alianza kama Afisa wa idara, naibu katibu Mkuu hadi katibu mkuu wa wizara.
 
binafsi kinachoniumiza ilikuwaje trump avae kipapa ,na moshi mweupe utoke kwa mmarekani
 
Jibu hoja mpuuzi wewe. Taja mawaziri 5 wa hio nchi
Mkuu wa Nchi: Papa ndiye mkuu wa Nchi ya Vatican.

Baraza la Kutunga Sheria: Tume ya Kipapa ya Vatican ni tawi la kutunga sheria.
Utunzi wa sheria(Bunge): Tume hiyo ina rais (ambaye pia ni Rais wa Gavana wa nchi ya Vatican na mkuu wa serikali), na makadinali sita walioteuliwa na Papa(Mawaziri unaowataka wewe😂😂).
 
binafsi kinachoniumiza ilikuwaje trump avae kipapa ,na moshi mweupe utoke kwa mmarekani

Trump hajawahi kuvaa kipapa. Bali alitamka kuwa angependa kuwa Papa. Baada ya kusema hivyo wataalam wa IT kwa kumkejeli, wakatengeneza picha ya Trump akiwa kwenye mavazi ya kipapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…