kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 18,577
- 23,171
na imetokeaTrump hajawahi kuvaa kipapa. Bali alitamka kuwa angependa kuwa Papa. Baada ya kusema hivyo wataalam wa IT kwa kumkejeli, wakatengeneza picha ya Trump akiwa kwenye mavazi ya kipapa.
Vatican statesKuna nchi Vatican?
Bro, kwa influence ulionayo kwenye KITENGO, imeshindikana nini hili kulifanya kua sheria? Wewe ni mtu mkubwa sana uliyejikita kwenye mitandaoNaunga mkono hoja
P
- Msikilize Mwana Diaspora Huyu. Asema Mazito na Ya Msingi Kuhusu Diaspora Watanzania
- Uraia Pacha, Wanadiaspora Mshukuruni Rais, sasa mnatambuliwa rasmi kwa Special Status ya Diaspora Tanzanite Card, una enjoy baadhi ya Haki za Uraia!
- Diaspora: Mkakati wa diaspora katika dual citizenship
- Lukuvi: Marufuku kwa Mtanzania aliyeukana uraia kumiliki ardhi nchini
- Utaratibu wa Watanzania wanaoishi Ughaibuni kushiriki kutoa maoni ya Katiba Mpya
Wana waziri wa Mambo ya njeWaziri wake na nani? Nitajie mawaziri 6 na wizara zao
Anzisheni na nyie pale Macca!Kuna nchi Vatican?
Unauliza maswali ya kipumbavu Sheikh! Mengine uwe unajipa muda wa ku-search kuliko kusumbua raia hapa! Hivi mkuu kinachokuuma hasa ni nini? Kujua kwamba Vatican ni nchi?πππTaja mawaziri 6 ya serekali ya Vatican na wizara zao