Rais wa Venezuela, Nicolas Maduro na mkewe wakamatwa na vikosi vya Marekani

We are waiting for Idd Amin Mama to be captured and put to justice! "Who are you"
 

03 January 2025
TRUMP AFURAHIA KUKAMATWA KWA MADURO

View: https://m.youtube.com/watch?v=6RAGNBJ_Ub8En una breve entrevista con el diario 'The New York Times', el presidente estadounidense, Donald Trump, confirmó el ataque de este 3 de enero en distintas zonas de Venezuela. El mandatario no confirmó si la ofensiva contó con la autorización del Congreso, anticipando una rueda de prensa sobre el tema desde su residencia en Florida a las 11h00 (hora local). Informa desde Nueva York
 
TOKA MAKTABA:

Brasil, Brazil

balozi Dr. Emmanuel Nchimbi na muambata Suleiman Mombo

Emmanuel Nchimbi, Suleiman Mombo wameona jinsi serikali dhalimu za latino Amerika zinavyoshughulikia wapinzani. Wameona na kujifunza vikosi maalum vya paramilitary vinavyoendesha operesheni haramu za kuua kwa makundi wapinzani wa serikali za kudikteta.

Yumkini tuliyoyaona kuanzia tarehe 29 Oktoba 2025 hadi 02 November 2025 na kyendelea vikosi vya wadunguaji vilivyovaa mabaka mabaka na tisheti nyeusi vikirandarana kuwavizia, kuwawinda, kuwapiga risasi mamia ya vijana ni yale waliyoyaona wakiwa Brazil na kuyaleta katika miji ya Dar es Salaam, Mbeya, Mwanza n.k ambapo miili mingi ya watu waliopigwa risasi gizani ilionekana kutapakaa katika taifa la Tanzania

UDIKTETA WA PINOCHET, CHILE

View: https://m.youtube.com/watch?v=K2m-fkYAWQU
.





Mhe. Rais Michel Temer na Waziri wa Mambo ya Nje wa Brazil Mhe. Aloysio Nunes Ferreira Filho (wa tatu kutoka kushoto) wakiwa katika picha ya pamoja na Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, watatu kutoka kulia ni Mama Balozi Jane Nchimbi, Bw. Frank J. Mhina, Afisa Ubalozi na Mkuu wa Utawala; na Bw. Suleiman Abubakar Mombo (the Plenipotentiary Minister of the Embassy) yaani Afisa Mwandamizi wa Ubalozi.



Balozi Dkt. Nchimbi na Mama Balozi Jane Nchimbi, wakisindikizwa Mara baada ya kumaliza kuwasikisha hati za Utambulisho kwa Rais

 

03 January 2025
VYOMBO VYA HABARI VYA TANZANIA VINAVYO RIPOTI KUKAMATWA KWA MADURO


View: https://m.youtube.com/watch?v=CphNcpJzpFk
 
Mtakaofuatilia hiyo PC ya Donald Trump, saa 11:00AM kwa saa za USA, kwa hapa Tanzania na East Africa itakuwa saa 18:00PM leo
 
Masikini Venezuela wanapigika kwasababu ya lasilimari yao ya mafuta😭😭 not fair
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…