Rais wa Yanga achia ngazi

Rais wa Yanga achia ngazi

Ni muda sahihi kwa Eng. Hersi kuachia ngazi hapo Yanga. Kitendo chako cha kumfukuza Kocha Gamondi kama vile una fukuza mke wako bila kuiheshimu Club kubwa Yanga kuwa ni taasisi na kutuletea kocha la hovyo. Lisilo na CV, wala Record yoyote sasa shida yake ndio hii. Kila mechi ni kufungwa tu.
Rais wajibika. Achia ngazi. Au mfukuze huyo Kocha wako wa mfukoni.
Hii mbona mapema sana jamani!
 
Ndugu yangu, mimi nililaani vikali nikawaambia huu upuuzi wa Hersi utatugharimu nikatukanwa sana.

Ligi ya mabingwa ndio kwaheri, na kombe la ligi hatutaweza kulitetea.
Tuliposema watu wakadai lazima mabadiliko yafanyike
Sasa ilikuwa imebaki week tukutane na Al hilal halafu wanatuletea huyu kocha mpya

Ukiangalia hata wachezaji mpaka sasa bado hawajui vizuri hata majina na sub zake za kijinga sana anamuweka dube kufanyaje sasa?

Wakati ni wazi kibabage ndiyo alikuwa uchochoro?

Tukishika hata nafasi ya pili kwa kweli tukatambike! Sisi ndiyo tutakuwa jamvi la wageni kila mtu atajipigia, hatueleweki tunacheza nini na formation gani? Yaani hovyo hovyo

Huyu hersi naona katuzoea sana sasa,
 
Nilikuwa naangalia rekodi za huyu kocha nikajiuliza mtu mwenye akili timamu anawezaje kumchagua kuja kuongoza club kubwa kama Yanga.

Kocha hana records za maana, pia ni kama ana gundu maana kila timu anayoingia performance ya hiyo timu inashuka.

Kocha wa viungo pia aliyekuja jana ni janga jingine. Mwaka huu Yanga tutakoma kmmk.
 
Tuliposema watu wakadai lazima mabadiliko yafanyike
Sasa ilikuwa imebaki week tukutane na Al hilal halafu wanatuletea huyu kocha mpya

Ukiangalia hata wachezaji mpaka sasa bado hawajui vizuri hata majina na sub zake za kijinga sana anamuweka dube kufanyaje sasa?

Wakati ni wazi kibabage ndiyo alikuwa uchochoro?

Tukishika hata nafasi ya pili kwa kweli tukatambike! Sisi ndiyo tutakuwa jamvi la wageni kila mtu atajipigia, hatueleweki tunacheza nini na formation gani? Yaani hovyo hovyo

Huyu hersi naona katuzoea sana sasa,
Kwani hawa wengine walifanya nini?Unawaangushia jumba bovu bure Dube na Kibabage.
 
  • Thanks
Reactions: G4N
Ni muda sahihi kwa Eng. Hersi kuachia ngazi hapo Yanga. Kitendo chako cha kumfukuza Kocha Gamondi kama vile una fukuza mke wako bila kuiheshimu Club kubwa Yanga kuwa ni taasisi na kutuletea kocha la hovyo. Lisilo na CV, wala Record yoyote sasa shida yake ndio hii. Kila mechi ni kufungwa tu.
Rais wajibika. Achia ngazi. Au mfukuze huyo Kocha wako wa mfukoni.
Timu apewe Mzee Magoma
 
Back
Top Bottom