Rais wa Yanga achia ngazi

Rais wa Yanga achia ngazi

Kama hujaona mpira basi sawa nyamaza hapa hatuleti ubishani wa kijinga OK? Potea hapa
Kanunue kamba ujinyonge.Mpira hautaki jazba.Mlipokuwa mnatamba ilikuwa sawa.Tulia dawa iwaingie.
 
  • Thanks
Reactions: G4N
Hersi awajibike kwa hili

Hatutaki kesi wala nini

Akae tu pemben

Full stop
Hersi naanza kuamini wale waliokuwa wanasema alikuwa anatembelea nyota ya mshindo msola

Yaani mpaka sasa sielewi alitumia vigezo gani kumtimua Gamondi?

Huyu saidi kasema anahitaji week tatu au nne mpaka aisuke team!

Means ndani ya hizo weeks nne watu watakuwa wanajipigia sisi tu jumlisha na huku CAFCL..!

Tukubali kumtimua yule mzee tuliteleza, yeye alikuwa anatumia mabeki hawa hawa ambao leo wanaonekana uchochoro! Kwake walikuwa solid sana
 
Ni muda sahihi kwa Eng. Hersi kuachia ngazi hapo Yanga. Kitendo chako cha kumfukuza Kocha Gamondi kama vile una fukuza mke wako bila kuiheshimu Club kubwa Yanga kuwa ni taasisi na kutuletea kocha la hovyo. Lisilo na CV, wala Record yoyote sasa shida yake ndio hii. Kila mechi ni kufungwa tu.
Rais wajibika. Achia ngazi. Au mfukuze huyo Kocha wako wa mfukoni.
Yanga mpate taaabuu sana,mna mdomo sana mbwa nyie(joking)
 
Back
Top Bottom