makedonia
JF-Expert Member
- Nov 17, 2014
- 4,171
- 3,461
Wakati anamleta ulikuwepo au ulimafahamu GAMONDI..?Ni muda sahihi kwa Eng. Hersi kuachia ngazi hapo Yanga.
Kitendo chako cha kumfukuza Kocha Gamondi kama vile una fukuza mke wako bila kuiheshimu Club kubwa Yanga kuwa ni taasisi na kutuletea kocha la hovyo.
Lisilo na CV, wala Record yoyote sasa shida yake ndio hii. Kila mechi ni kufungwa tu.
Rais wajibika. Achia ngazi. Au mfukuze huyo Kocha wako wa mfukoni.