Rais wa Yanga achia ngazi

Rais wa Yanga achia ngazi

Kweli kabisa, yaami mmepigwa na mtakuwa wa mwisho kwenye kundi. Ukijiuliza, je Gamondi alikuwa na shida gani? Jibu ni hapana,.. But endeleeni kupambana one day yes🤣🤣
waliingizwa kwenye mfumo na Ibenge baada ya kufika bongo alisema timu kubwa Yanga na kuisema simba ila baada ya game alikuwa anaisifia simba
 
Kweli kabisa, yaami mmepigwa na mtakuwa wa mwisho kwenye kundi. Ukijiuliza, je Gamondi alikuwa na shida gani? Jibu ni hapana,.. But endeleeni kupambana one day yes🤣🤣
Alikuwa hashauriki yule kipara ngoto na pia mbaguzi. Ila cha kushangaza matokeo alikuwa anapata.
 
Wachezaji wa yanga wanawaza tu ngono... wanacheza mpira huku mamboo yamesimama, kocha mwenyewe anawaza tu kunyuka pamba na suti bling bling utafikiri ni Mr Blue
 
Wanayanga tutulie tumpe muda mwalimu
Spana kama hizi zinafanya kazi Mfano TU Mtu kama Azizi ki na Dube hata mtoto mdogo ukimuasha hawa jamaa hata benchi hawatakiwi kwa game ata 5 maana ni useless kwa current performance
 
Walijua ni germany machine kumbe ni gobole tu
Walikumbuka Mjerumani alivyomfunga Brazil 7 wakajua wamepata mtu kumbe dhofla hali kabisaa timu haina hata shot on goal na walisema wao huwa wanavuna point za away sijui ni away ya wapi au ya Konde na marioo
 
Yanga mlikua ndo mmeanza kuweka mguu kwenye michuano ya kimataifa mkahisi tyr mmekuwa giants. It's time mjue ukubwa unajengwa sio kwa porojo na supu, hii timu inarudi iliko toka
 
Injinia alivimba kichwa sana kujiona km ni rais wa jamuhuri kabisa!!

Walitudanganya et msimu huu kwa kikosi hiki iko siku timu itafungwa 20, kumbe nikinyume chake........ MOTHER NAFAKA
 
Back
Top Bottom