Rais wa Yanga achia ngazi

Rais wa Yanga achia ngazi

Goli Mbili kwa Mbinde wAmemtafuna goli mbili kwa mbindeeee
 
Ni muda sahihi kwa Eng. Hersi kuachia ngazi hapo Yanga.

Kitendo chako cha kumfukuza Kocha Gamondi kama vile una fukuza mke wako bila kuiheshimu Club kubwa Yanga kuwa ni taasisi na kutuletea kocha la hovyo.

Lisilo na CV, wala Record yoyote sasa shida yake ndio hii. Kila mechi ni kufungwa tu.

Rais wajibika. Achia ngazi. Au mfukuze huyo Kocha wako wa mfukoni.
Unasahau kuwa wachezaji wenu tayari wameshachuja
 
Ni muda sahihi kwa Eng. Hersi kuachia ngazi hapo Yanga.

Kitendo chako cha kumfukuza Kocha Gamondi kama vile una fukuza mke wako bila kuiheshimu Club kubwa Yanga kuwa ni taasisi na kutuletea kocha la hovyo.

Lisilo na CV, wala Record yoyote sasa shida yake ndio hii. Kila mechi ni kufungwa tu.

Rais wajibika. Achia ngazi. Au mfukuze huyo Kocha wako wa mfukoni.
Kweli kabisa, yaami mmepigwa na mtakuwa wa mwisho kwenye kundi. Ukijiuliza, je Gamondi alikuwa na shida gani? Jibu ni hapana,.. But endeleeni kupambana one day yes🤣🤣
 
hii ndio yanga tunayoijua kimataifa. ile ya miaka kadhaa nyuma ilikua sio yenyewe
 
IMG-20241102-WA0073.jpg
 
Ona huyu said sasa anaangalia tu afanyeje sasa na wachezaji hawajui vizuri
Hata akija kuwajua baadhi yao ataomba kuachana nao maana umri umesogea.
Dirisha dogo Injinia aingie sokoni kuziba mapengo
 
Ni muda sahihi kwa Eng. Hersi kuachia ngazi hapo Yanga.

Kitendo chako cha kumfukuza Kocha Gamondi kama vile una fukuza mke wako bila kuiheshimu Club kubwa Yanga kuwa ni taasisi na kutuletea kocha la hovyo.

Lisilo na CV, wala Record yoyote sasa shida yake ndio hii. Kila mechi ni kufungwa tu.

Rais wajibika. Achia ngazi. Au mfukuze huyo Kocha wako wa mfukoni.

Uliuona mkataba wa Gamondi na Yanga? Je kama kuna kipengele kama akifungwa 3 times in a row anafukuzwa?
 
Mpira ndivo ulivo yanga inapitia kipind cha mpito mbona real, man city na Barcelona zote bado hazijarikava
 
Sijui Hersi alivuta bangi gani? Unafukuza kocha wiki moja kabla ya kuelekea mechi ngumu za ligi ya mabingwa?

Sawa basi, ukamleta kocha gani?

Hizi mechi niliwaambia hatutoshinda hata moja.
Yanga atakua na point 7 km akijitajidi
1: vs mazenbe anachukua 4 point
2: vs mc-Alger Dsm.
3: timu ya Ibenge hawezi patakitu iletimu imekaa pamoja muda mrefu ,wachezaji na kocha wao
 
Back
Top Bottom