Rais wa Yanga achia ngazi

Rais wa Yanga achia ngazi

Sijui Hersi alivuta bangi gani? Unafukuza kocha wiki moja kabla ya kuelekea mechi ngumu za ligi ya mabingwa?

Sawa basi, ukamleta kocha gani?

Hizi mechi niliwaambia hatutoshinda hata moja.
mlikuwa mnashauri sanaa kipindi Simba wanafukuza kocha kipindi kigumu ,mbona kwenu hamkufanya hivo acha mshenyento uendelee
 
Nilikuwa naangalia rekodi za huyu kocha nikajiuliza mtu mwenye akili timamu anawezaje kumchagua kuja kuongoza club kubwa kama Yanga.

Kocha hana records za maana, pia ni kama ana gundu maana kila timu anayoingia performance ya hiyo timu inashuka.

Kocha wa viungo pia aliyekuja jana ni janga jingine. Mwaka huu Yanga tutakoma kmmk.
German Machineeeeee nyambafyuuuu ni humu tuuu
 
Ni muda sahihi kwa Eng. Hersi kuachia ngazi hapo Yanga.

Kitendo chako cha kumfukuza Kocha Gamondi kama vile una fukuza mke wako bila kuiheshimu Club kubwa Yanga kuwa ni taasisi na kutuletea kocha la hovyo.

Lisilo na CV, wala Record yoyote sasa shida yake ndio hii. Kila mechi ni kufungwa tu.

Rais wajibika. Achia ngazi. Au mfukuze huyo Kocha wako wa mfukoni.
Hersi alikuwa anataka kocha apewe ila shinikizo kubwa lilikuwa kwa arafat makamu wa raisi alikuwa amemchoka gamondi!
 
Sijui Hersi alivuta bangi gani? Unafukuza kocha wiki moja kabla ya kuelekea mechi ngumu za ligi ya mabingwa?

Sawa basi, ukamleta kocha gani?

Hizi mechi niliwaambia hatutoshinda hata moja.
Jamaa alipuyanga sana kwenye hili halafu kuna jamaa angu wa karibu sana shabiki mwenzangu alikuwa anafurahia gamondi kuondoka sasahivi kila nikimuuliza kwanini ulifurahia hana majibu anabubujikwa na machozi tu
 
Back
Top Bottom