Taarifa hii ni kwa mujibu wa Msemaji wa Yanga, Ally Kamwe ambae anasema Raisi huyo wa Yanga aliamua kufanya hivyo kuondoa usumbufu na pi imesaidia kukabiliana na zile njama/mbinu za kupandisha viingilio katika hii mechi.
Ally Kamwe amesema haya wakati akihojiwa baada ya mechi kwisha.