GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Sawa mla viepe na SavannahNgoja wala mihogo wamalizie kushushia mihogo yao na maji ya viroba wakushukie
Nadhani Bayern Munich ndo wanamtaka sana hata kipindi kile anakuja Yanga alikataa ofa Yao.Kwa hiyo wakimfukuza atarudi Newcastle, Bayern au ManCity?
Mimi nakula kitimoto nakunywa K vant,karibu sana mkuu tupate lunch ya kibabeSawa mla viepe na Savannah
Acha nikomae na mihogo as long as sio sumu life goes onMimi nakula kitimoto nakunywa K vant,karibu sana mkuu tupate lunch ya kibabe
Labda za Tandale.Kwa hiyo wakimfukuza atarudi Newcastle, Bayern au ManCity?
Super f..lLabda za Tandale.