GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Naona nae Kawadindia ( Kawakatalia ) na anataka mumlipe Tsh Milioni 700 zake la sivyo anabisha hodi FIFA Kudadadeki.
Halafu Injinia Hersi Said ( Rais wa Yanga SC ) na GSM wako ( yako ) si mnasema mna Hela? Sasa mbona mnamsumbua mno Tajiri wa NATION GAS Rosti Tamu ukila na Aziz pamoja na Mzee Kijana Mhudhuriaji wa Show ya Mario Kesho Mlimani City ili wawasaidieni Pesa za Mchango ili mmalizane mazima na Mchezaji wenu aliyeweza Kucheza Ligi Ngumu na Kubwa ya Uingereza ( Premier League ) ila hii yetu Nyepesi ya Madafu ( NBC Premier League ) imemshinda Gael Bigirimana?
Kazi ipo........!!!!!!!