GUSA ACHIA BAHASHA GOLI
JF-Expert Member
- Apr 19, 2023
- 5,110
- 7,349
Ajifunze kushiriki mashindano yenu ya akina mama huko umbumbumbuni hakuna cha kujifunza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ajifunze kushiriki mashindano yenu ya akina mama huko umbumbumbuni hakuna cha kujifunza
Nilitaka kukujibu ila baada ya kujua ni shabiki wa yanga ambae sio Sunday Manara wala mzee Kikwete nikaamua kukaa kimyaAjifunze kushiriki mashindano yenu ya akina mama huko umbumbumbuni hakuna cha kujifunza
Huyu ni hair dressers engHivi Hersi Huwa ni injinia wa category ipi?, civil engineer, electrical engineer, mechanical engineer, safety engineer, environmental engineer, maana nasikiaga injinia tu
Labda Social EngineerHivi Hersi Huwa ni injinia wa category ipi?, civil engineer, electrical engineer, mechanical engineer, safety engineer, environmental engineer, maana nasikiaga injinia tu
Aseme Sasa watu tueleweLabda Social Engineer
Kweli kolo Kawa dunduka,novemba 19 mwaka Jana baada ya gemu ya watani wa jadi,mwenyekiti wenu mangungu kakataa kuhojiwa na waandishi wa habari Hadi kamkosa kibao mwanahabari mmoja,Leo Hii umesahau?Umetoka Uwanjani na kama kawaida Waandishi wa Habari wanakufuata Kukuhoji unawatisha kwa Kuwaangalia kwa Macho makali huku Unazuga unakunywa Maji wakati hata Kiu chenyewe ulikuwa huna. Na kuonyesha Jeuri hukutaka Kuzungumza na ukaingia haraka Garini na Kundoka. Sijawahi kumuona Kiongozi yoyote yule wa Juu wa Simba SC akitoka Uwanjani na kukataa Kuzungumza na Waandishi wa Habari hata kama Timu ya Simba SC imefungwa.
Acha Ushamba Wewe Mtoto wa zamani wa Kariakoo katika Ghorofa za NHC zinazotazama na Zimamoto sawa?