Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said jifunze Ustaarabu na una mengi ya Kujifunza kutoka kwa Viongozi wa Simba SC

umemsahau yule kiongpzi wa mbumbumbu alietukana waandishi wa habari,unatumia nini kufikiria mkuu? au hayo uliyokalia 😉
 
Ajifunze kushiriki mashindano yenu ya akina mama huko umbumbumbuni hakuna cha kujifunza
Nilitaka kukujibu ila baada ya kujua ni shabiki wa yanga ambae sio Sunday Manara wala mzee Kikwete nikaamua kukaa kimya
 
Hivi Hersi Huwa ni injinia wa category ipi?, civil engineer, electrical engineer, mechanical engineer, safety engineer, environmental engineer, maana nasikiaga injinia tu
Huyu ni hair dressers eng
 
Hivi Hersi Huwa ni injinia wa category ipi?, civil engineer, electrical engineer, mechanical engineer, safety engineer, environmental engineer, maana nasikiaga injinia tu
Labda Social Engineer
 
Kweli kolo Kawa dunduka,novemba 19 mwaka Jana baada ya gemu ya watani wa jadi,mwenyekiti wenu mangungu kakataa kuhojiwa na waandishi wa habari Hadi kamkosa kibao mwanahabari mmoja,Leo Hii umesahau?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…