Alipokuwa Dodoma na kufika Bungeni inasemekana mamlaka zilimuweka kitimoto na kukubali Yanga kucheza.
Tatizo ni namna ya kuwalainisha Mashabiki wa Yanga. Ila tayari kuna mbinu imeshaanza kutumiwa na Ali Kamwe kuanzisha propaganda za majigambo kuwa SIMBA WASIFIKIRI KUWA YANGA INAWAOGOPA. Kwa kauli hizo mwisho wake itakuwa kuwajaza upepo mashabiki na kusema wana Yanga hebu tuwaonyeshe hawa Simba kuwa sisi ni nani.
Heris Saidi ana ndoto kubwa sana za kuingia kwenye siasa, hivyo lazima awe msikivu tu.
Derby Ipo kama ilivyopangwa na TFF.
NB:
Yanga itafungwa ili kusherehesha ubingwa wa kombe la Caf atakalobeba Simba