Rais wa Yanga tayari ameshawekwa sawa alipokwenda Dodoma

Alipokuwa Dodoma na kufika Bungeni inasemekana mamlaka zilimuweka kitimoto na kukubali Yanga kucheza.

Tatizo ni namna ya kuwalainisha Mashabiki wa Yanga. Ila tayari kuna mbinu imeshaanza kutumiwa na Ali Kamwe kuanzisha propaganda za majigambo kuwa SIMBA WASIFIKIRI KUWA YANGA INAWAOGOPA. Kwa kauli hizo mwisho wake itakuwa kuwajaza upepo mashabiki na kusema wana Yanga hebu tuwaonyeshe hawa Simba kuwa sisi ni nani.
Heris Saidi ana ndoto kubwa sana za kuingia kwenye siasa, hivyo lazima awe msikivu tu.

Derby Ipo kama ilivyopangwa na TFF.

NB:
Yanga itafungwa ili kusherehesha ubingwa wa kombe la Caf atakalobeba Simba
chupit
 
Mnamuonea bure huyo Hersi.
Ni kwamba mechi lazima ichezwe, hayo ni maelekezo ya Chama.

Federation ilisha-surrender. hili jambo lina presha kali.
CCM ndio instrument pekee inayoziunganisha Simba na Yanga..maana ni timu zake.

Viongozi wote wa timu hizo ni makada wa kijani, na wanajulikana hadharani.
 
Abadan! Simba kwa kikosi alichonacho hawezi kubeba kombe la CAF.
Pia mlisema " Abadan! Simba kwa kikosi alichonacho hawezi kufika nusu fainali" mkaja tena kusema " Abadani! Simba kwa kikosi alichonacho hawezi kufika Fainali ".

Sasa naona Abadan ya tatu!!
 
Abadan! Simba kwa kikosi alichonacho hawezi kubeba kombe la CAF.
1. Sikutegemea simba atamfunga Al ahyl tripol:akamfunga
2. Sikutegemea simba angevuka makundi: alivuka tena akiwa kinara
3. Nilidhani simba angekata roho robo fainali: lakini ni Al masry alibaki hajielewi
4. Ikaja 1/2 fainali, nikajua mnyama ataekezwa kibla. Matokeo: stellenbosch alipigwa kimoko cha haja pale Zenj, kwao akajuta kuifahamu simba
5. Fainal mnyama anakipiga na rs berkane: tumdhanie siye ndiye.
 
Alipokuwa Dodoma na kufika Bungeni inasemekana mamlaka zilimuweka kitimoto na kukubali Yanga kucheza.

Tatizo ni namna ya kuwalainisha Mashabiki wa Yanga. Ila tayari kuna mbinu imeshaanza kutumiwa na Ali Kamwe kuanzisha propaganda za majigambo kuwa SIMBA WASIFIKIRI KUWA YANGA INAWAOGOPA. Kwa kauli hizo mwisho wake itakuwa kuwajaza upepo mashabiki na kusema wana Yanga hebu tuwaonyeshe hawa Simba kuwa sisi ni nani.
Heris Saidi ana ndoto kubwa sana za kuingia kwenye siasa, hivyo lazima awe msikivu tu.

Derby Ipo kama ilivyopangwa na TFF.

NB:
Yanga itafungwa ili kusherehesha ubingwa wa kombe la Caf atakalobeba Simba
Yanga ni timu ya wanachama si ya Hersi kama Ile timu aliyoinunua Kanjibhai kwa 20 bilioni.
Mara ajengue ajiite Raisi heshima mara arufi madarakani ampangue huyu amrejeshe yule, mara asuse atake timu kuipiga mnada almuradi vurugu mechi.
 
Aache kuwekwa kati Karia awekwe Hersi? 😂 Mchezo hakuna, bodi ya Ligi wameambiwa wauondoe kwenye ratiba. Mchezo ulishachezwa tarehe 8
Atskachoamua Hersi wewe utafuata tu. Akisema tunacheza, utarudi hapa kuanzisha nyuzi kwamba tunacheza
 
Yanga ni timu ya wanachama si ya Hersi kama Ile timu aliyoinunua Kanjibhai kwa 20 bilioni.
Mara ajengue ajiite Raisi heshima mara arufi madarakani ampangue huyu amrejeshe yule, mara asuse atake timu kuipiga mnada almuradi vurugu mechi.
Kujua kama ni ya Hersi au wanachama, angalia ni nani anaanzisha jambo halafu ni nani anafuata kulipigia debe hilo jambo. Anayeanzisha ndiye mwenye timu, wapiga debe na wa kuburuzwa tu
 
Ukiambiwa rudi nyumbani ukafuate utaratibu, hayo sio maamuzi!? Au ulitaka niandike "Hukumu". Hapo hakuna hukumu iliyiotolewa. Wewe umeielewaje barua ya CAS!?
Sasa mshapeleka malalamiko yenu tff?kwel kalagabao huko utopolon hata uyaue humalizi
 
Hee!? Mimi utopolo tena!? Tangu lini!? Hiyo comment niliandika kumjibu jamaa wa utopolo.
 
Nimesoma heading ya uzi wako, na kulinganisha na hapo kwenye bold, nimeona vinapingana. Heading inatoa uhakika wa jambo kutokea, lakini maelezo yanasema INASEMEKANA. Conclusion: RAGE ALIKUWA NA ANAENDELEA KUWA SAHIHI
Rage huyu alietoa wachezaji simba akawapeleka mwiko nyuma ili mcheze hatua za awali klabu bingwa afrika miaka ishirini iliopita?
 
Nimeona clip ya Msemaji wa Yanga Mwananchi_official insta ndio naanza kuamini hiki ulichoandika. Kuna ukweli flani hivi baada ya kutafsiri
 
Alipokuwa Dodoma na kufika Bungeni inasemekana mamlaka zilimuweka kitimoto na kukubali Yanga kucheza.

Tatizo ni namna ya kuwalainisha Mashabiki wa Yanga. Ila tayari kuna mbinu imeshaanza kutumiwa na Ali Kamwe kuanzisha propaganda za majigambo kuwa SIMBA WASIFIKIRI KUWA YANGA INAWAOGOPA. Kwa kauli hizo mwisho wake itakuwa kuwajaza upepo mashabiki na kusema wana Yanga hebu tuwaonyeshe hawa Simba kuwa sisi ni nani.
Heris Saidi ana ndoto kubwa sana za kuingia kwenye siasa, hivyo lazima awe msikivu tu.

Derby Ipo kama ilivyopangwa na TFF.

NB:
Yanga itafungwa ili kusherehesha ubingwa wa kombe la Caf atakalobeba Simba
Ali hana haja ya kutuambia kitu kuhusu simba sisi mashabiki tnajua kwamba kolo tunalifunga tyme yoyote likija swala la HATUCHEZI halihusiani na kumuogopa simba wala timu yoyote dhidi ya YANGA afrika hii
 
Back
Top Bottom