Rais wa Yanga tayari ameshawekwa sawa alipokwenda Dodoma

Rais wa Yanga tayari ameshawekwa sawa alipokwenda Dodoma

Nadhani siku ukijua Yanga sc ama Simba sc na nguvu zao ndo utaelewa ulichoandika ni mavi mavi tuu
Try again akikutana na gsm ama hersi wanakumbatiana kwa furaha wanapeana michongo ya pesa
shida Iko kwenu makapuku.
 
Tafuta hela maskin wewe. Pumbavu. Ooh hatuchezi...pumbavu watu wamewekeza billions of money kwenye ligi kuu na hizi timu kubwa , wewe unakuja na ufukara wako ooh hatuchezi . ..halaf unaanza kumtaja taja rage ...
Kumbe bado..!! Rage alisema makolo wote ni mbumbumbu..!! hapa unazidi kuonyesha Rage alikuwa sahihi kuyasema ya umbumbumbu
 
CAS walitoa maamuzi gani??? Inaonekana hujaielewa barua ya CAS
Ukiambiwa rudi nyumbani ukafuate utaratibu, hayo sio maamuzi!? Au ulitaka niandike "Hukumu". Hapo hakuna hukumu iliyiotolewa. Wewe umeielewaje barua ya CAS!?
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Try again akikutana na gsm ama hersi wanakumbatiana kwa furaha wanapeana michongo ya pesa
shida Iko kwenu makapuku.
Asiyejua football economy ndie atakayebaki anabwatuka na kudhania vitu
 
Kumbe bado..!! Rage alisema makolo wote ni mbumbumbu..!! hapa unazidi kuonyesha Rage alikuwa sahihi kuyasema ya umbumbumbu
Huyo aliyetuita "makolo", usisahau pia alisema "wenye akili wawili tu hapo utopolo". Ni wazi unakubaliana naye, kuwa hata wewe huna akili.
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Narudia Hii mechi Yanga watacheza. Watacheza. Siku inakuja ambayo viongozi wa Yanga watakuja hadharani wakitoa sababu hii na ile kubatilisha neno "Hatuchezi" . Mashabiki watapiga kelele sana but hawatafanikiwa kwa hili.
Yanga na Simba zimebeba pia ushawishi mmubwa wa kisiasa. We shabiki Kazana na kelele zako ila huko juu watu hawapo tayari kupoteza mabilioni yao kwa kelele za Hatuchezi. Hii mechi Yanga mtacheza. Narudia mtacheza.
 
Sasa kama kuna spelling error au chochote kinachobadili maana ya ulichokikusudia watu wakielewe, si ndo ukiseme..!!!

Kwamba inasemekana, huoni kuwa ulitakiwa useme ni tetesi..!!???
Ila wewe Muha kwa ubishi!!!
 
Ha
Try again akikutana na gsm ama hersi wanakumbatiana kwa furaha wanapeana michongo ya pesa
shida Iko kwenu makapuku.
Hata kwenye siasa ipo hivyo,nyie mnapewa silaha mchapane wao wanakutana Sheraton Hotel kula,kunywa na kujadili.
 
Alipokuwa Dodoma na kufika Bungeni inasemekana mamlaka zilimuweka kitimoto na kukubali Yanga kucheza.

Tatizo ni namna ya kuwalainisha Mashabiki wa Yanga. Ila tayari kuna mbinu imeshaanza kutumiwa na Ali Kamwe kuanzisha propaganda za majigambo kuwa SIMBA WASIFIKIRI KUWA YANGA INAWAOGOPA. Kwa kauli hizo mwisho wake itakuwa kuwajaza upepo mashabiki na kusema wana Yanga hebu tuwaonyeshe hawa Simba kuwa sisi ni nani.
Heris Saidi ana ndoto kubwa sana za kuingia kwenye siasa, hivyo lazima awe msikivu tu.

Derby Ipo kama ilivyopangwa na TFF.

NB:
Yanga itafungwa ili kusherehesha ubingwa wa kombe la Caf atakalobeba Simba
Abadan! Simba kwa kikosi alichonacho hawezi kubeba kombe la CAF.
 
Back
Top Bottom