Mashabiki wapayukaji , wapiga kelele na wauza sura watapewa laki tano tano watawaimbisha wenzao mechi ichezwe.Alipokuwa Dodoma na kufika Bungeni inasemekana mamlaka zilimuweka kitimoto na kukubali Yanga kucheza.
Tatizo ni namna ya kuwalainisha Mashabiki wa Yanga. Ila tayari kuna mbinu imeshaanza kutumiwa na Ali Kamwe kuanzisha propaganda za majigambo kuwa SIMBA WASIFIKIRI KUWA YANGA INAWAOGOPA. Kwa kauli hizo mwisho wake itakuwa kuwajaza upepo mashabiki na kusema wana Yanga hebu tuwaonyeshe hawa Simba kuwa sisi ni nani.
Heris Saidi ana ndoto kubwa sana za kuingia kwenye siasa, hivyo lazima awe msikivu tu.
Derby Ipo kama ilivyopangwa na TFF.
NB:
Yanga itafungwa ili kusherehesha ubingwa wa kombe la Caf atakalobeba Simba
Nimesoma heading ya uzi wako, na kulinganisha na hapo kwenye bold, nimeona vinapingana. Heading inatoa uhakika wa jambo kutokea, lakini maelezo yanasema INASEMEKANA. Conclusion: RAGE ALIKUWA NA ANAENDELEA KUWA SAHIHIAlipokuwa Dodoma na kufika Bungeni inasemekana mamlaka zilimuweka kitimoto na kukubali Yanga kucheza.
Tatizo ni namna ya kuwalainisha Mashabiki wa Yanga. Ila tayari kuna mbinu imeshaanza kutumiwa na Ali Kamwe kuanzisha propaganda za majigambo kuwa SIMBA WASIFIKIRI KUWA YANGA INAWAOGOPA. Kwa kauli hizo mwisho wake itakuwa kuwajaza upepo mashabiki na kusema wana Yanga hebu tuwaonyeshe hawa Simba kuwa sisi ni nani.
Heris Saidi ana ndoto kubwa sana za kuingia kwenye siasa, hivyo lazima awe msikivu tu.
Derby Ipo kama ilivyopangwa na TFF.
NB:
Yanga itafungwa ili kusherehesha ubingwa wa kombe la Caf atakalobeba Simba
Mechi itachezwa. Na Itachezwa kwa kuwa mamlaka za soka zimeamua. CAS walishatoa maamuzi, kama kususia ni wao ndio wataumia.Alipokuwa Dodoma na kufika Bungeni inasemekana mamlaka zilimuweka kitimoto na kukubali Yanga kucheza.
Tatizo ni namna ya kuwalainisha Mashabiki wa Yanga. Ila tayari kuna mbinu imeshaanza kutumiwa na Ali Kamwe kuanzisha propaganda za majigambo kuwa SIMBA WASIFIKIRI KUWA YANGA INAWAOGOPA. Kwa kauli hizo mwisho wake itakuwa kuwajaza upepo mashabiki na kusema wana Yanga hebu tuwaonyeshe hawa Simba kuwa sisi ni nani.
Heris Saidi ana ndoto kubwa sana za kuingia kwenye siasa, hivyo lazima awe msikivu tu.
Derby Ipo kama ilivyopangwa na TFF.
NB:
Yanga itafungwa ili kusherehesha ubingwa wa kombe la Caf atakalobeba Simba
Usiichoshe akili yako . Ndio maana mnazeeka mapema sana sababu ya kujidai kukagua kila kitu utafikiri unasahihisha mtihani wa Literature. Hivi nikikuambia tomorrow coming to my home utaniambia hujaelewa au? Ndio maana lecturer wa Tz anamfelisha mtu kwa minor spelling errors wakati ulaya wao wanaangalia concept hata kama umeandika the the the.Nimesoma heading ya uzi wako, na kulinganisha na hapo kwenye bold, nimeona vinapingana. Heading inatoa uhakika wa jambo kutokea, lakini maelezo yanasema INASEMEKANA. Conclusion: RAGE ALIKUWA NA ANAENDELEA KUWA SAHIHI
Wewe utakuwa ni Ali KamweUmeandika magimbi dogo
Sasa kama kuna spelling error au chochote kinachobadili maana ya ulichokikusudia watu wakielewe, si ndo ukiseme..!!!Usiichoshe akili yako . Ndio maana mnazeeka mapema sana sababu ya kujidai kukagua kila kitu utafikiri unasahihisha mtihani wa Literature. Hivi nikikuambia tomorrow coming to my home utaniambia hujaelewa au? Ndio maana lecturer wa Tz anamfelisha mtu kwa minor spelling errors wakati ulaya wao wanaangalia concept hata kama umeandika the the the.
CAS walitoa maamuzi gani??? Inaonekana hujaielewa barua ya CASMechi itachezwa. Na Itachezwa kwa kuwa mamlaka za soka zimeamua. CAS walishatoa maamuzi, kama kususia ni wao ndio wataumia.
Ishu sio rage...ishu ni kua nyie makapuku ndio hua mnahemuka huko kwenye vijiwe ila mabosi na matajiri wa hizi timu hua wanakua washaongea na kugonga cheers ..shida hua nyie makapuku aina yako na wenzako humu ..ooh hatuchezi..fyoko huna shares kwenye timu unajamba wima ooh hatuchezi...pumbavuNimesoma heading ya uzi wako, na kulinganisha na hapo kwenye bold, nimeona vinapingana. Heading inatoa uhakika wa jambo kutokea, lakini maelezo yanasema INASEMEKANA. Conclusion: RAGE ALIKUWA NA ANAENDELEA KUWA SAHIHI
HATUCHEZI!!!!Alipokuwa Dodoma na kufika Bungeni inasemekana mamlaka zilimuweka kitimoto na kukubali Yanga kucheza.
Tatizo ni namna ya kuwalainisha Mashabiki wa Yanga. Ila tayari kuna mbinu imeshaanza kutumiwa na Ali Kamwe kuanzisha propaganda za majigambo kuwa SIMBA WASIFIKIRI KUWA YANGA INAWAOGOPA. Kwa kauli hizo mwisho wake itakuwa kuwajaza upepo mashabiki na kusema wana Yanga hebu tuwaonyeshe hawa Simba kuwa sisi ni nani.
Heris Saidi ana ndoto kubwa sana za kuingia kwenye siasa, hivyo lazima awe msikivu tu.
Derby Ipo kama ilivyopangwa na TFF.
NB:
Yanga itafungwa ili kusherehesha ubingwa wa kombe la Caf atakalobeba Simba
Umemaliza kufuka moshi wa kuni mbichi au bado unaendelea??Ishu sio rage...ishu ni kua nyie makapuku ndio hua mnahemuka huko kwenye vijiwe ila mabosi na matajiri wa hizi timu hua wanakua washaongea na kugonga cheers ..shida hua nyie makapuku aina yako na wenzako humu ..ooh hatuchezi..fyoko huna shares kwenye timu unajamba wima ooh hatuchezi...pumbavu
CC MuiteInasemekana.
KAZI ni kipimo cha utu
Tafuta hela maskin wewe. Pumbavu. Ooh hatuchezi...pumbavu watu wamewekeza billions of money kwenye ligi kuu na hizi timu kubwa , wewe unakuja na ufukara wako ooh hatuchezi . ..halaf unaanza kumtaja taja rage ...Umemaliza kufuka moshi wa kuni mbichi au bado unaendelea??