Rais wa zamani wa Afrika Kusini, Jacob Zuma ahukumiwa kifungo cha miezi 15 gerezani

Rais wa zamani wa Afrika Kusini, Jacob Zuma ahukumiwa kifungo cha miezi 15 gerezani

beth

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
3,880
Reaction score
6,368
Mahakama ya Juu zaidi Nchini Afrika Kusini imemhukumu aliyewahi kuwa Rais wa Taifa hilo, Jacob Zuma kifungo cha miezi 15.

Uamuzi huo umekuja baada ya Mahakama ya Kikatiba kumkuta na hatia ya kudharau Mahakama baada ya kukaidi agizo la kufika kwenye Uchunguzi wa Ufisadi wakati akiwa Rais.
======

South Africa's former President Jacob Zuma has been sentenced to 15 months by the highest court in the country.

This came after the Constitutional Court found him guilty of contempt after defying the court's order to appear at an inquiry into corruption while he was president.

Mr Zuma's time in power, which ended in 2018, was dogged by graft allegations.

Businessmen were accused of conspiring with politicians to influence the decision-making process.

The former president made one appearance at the inquiry into what has become known as "state capture" but then refused to appear subsequently.

The inquiry - headed by Justice Raymond Zondo - asked the Constitutional Court to intervene.

It is not clear if Mr Zuma will now be arrested.

In a separate legal matter, Mr Zuma pleaded not guilty last month in his corruption trial involving a $5bn (£3bn) arms deal from the 1990s.

Source: BBC
 
Mahakama nchini Afrika Kusini imemhukumu kifungo cha miezi 15 aliyekuwa rais wa taifa hilo, Jacob Zuma.

Hii ni baada ya Korti ya Katiba kumpata na hatia ya kukaidi agizo la kufika mahakamani baada yakukosa kufika kwenye kikao cha uchunguzi wa kesi ya ufisadi wakati alipokuwa rais.

Mahakama ilikuwa na jukumu la kuamua kama Bw.Zuma anapaswa kuadhibiwa kwa kukataa wito wa mahakama na amri ya mahakama ya kumtaka afike mahakamani kutoa ushahidi kuhusu shutuma za rushwa wakati wa utawala wake.

Mwenyekiti wa kamati maalum ya uchunguzi wa mahakama ,Raymond Zondo ambayo imekuwa ikichunguza madai hayo aliiomba mahakama itamke kuwa rais huyo wa zamani alidharau mahakama na imhukumu kifungo cha miaka miwili.

Tangu alipojiuzulu mnamo mwaka 2018, Bwana Zuma amekuwa akifika mahakamani akikabiliwa na shutuma za ufisadi ambazo amekuwa akizikanusha.

Wafanyabiashara walishutumiwa kwa kula njama na wanasiasa kushawishi mchakato wa kufanya maamuzi ya serikali Rais huyo wa zamani alijitokeza mara moja kwenye uchunguzi wa kile kilichojulikana kama "kukamatwa kwa serikali" lakini akakataa kujitokeza baadaye.

Uchunguzi huo - ulioongozwa na Jaji Raymond Zondo - uliuliza Korti ya Katiba iingilie kati. Haijulikani ikiwa Bw Zuma sasa atakamatwa.

Katika suala tofauti la kisheria, Bwana Zuma alikataa hatia mwezi uliopita katika kesi yake ya ufisadi iliyohusisha makubaliano ya silaha ya $ 5bn (£ 3bn) kutoka miaka ya 1990.

-----
This came after the Constitutional Court found him guilty of contempt after defying the court's order to appear at an inquiry into corruption while he was president.

Mr Zuma's time in power, which ended in 2018, was dogged by graft allegations.

Businessmen were accused of conspiring with politicians to influence the decision-making process.

The former president made one appearance at the inquiry into what has become known as "state capture" but then refused to appear subsequently.

The inquiry - headed by Justice Raymond Zondo - asked the Constitutional Court to intervene.

It is not clear if Mr Zuma will now be arrested.

In a separate legal matter, Mr Zuma pleaded not guilty last month in his corruption trial involving a $5bn (£3bn) arms deal from the 1990s.

Source: BBC
 
Hio ndio democracy ,the rule of law

Nobody is above the law even the president himself/herself.

Huku ndugai anatumia tu madaraka vibaya kwa kuwalipa mishahara covid 19 .

Angekuwa sauzi angekuwa anajihakikishia kunyea mtondo/debe
 
Muda huo huo anatembea na ulinzi wake na chumba chake full AC chakula anakula anachotaka hahaha
 
Sasa Hivi Hapa Tanzania Eti Hawa Hawashtakiwi
Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
Makamu Wa Rais
Waziri Mkuu
Jaji Mkuu
Speaker Wa Bunge
Naibu Speaker
 
Hii adhabu ni ya kuidharau mahakama tu au ndio ya ubadhirifu wa Pesa?
 
This reminds me of the curse of corruption in Africa, and its aftermath. Zuma has gone down the path that many avoid. Africans are very corrupt. We need to change Africa by making everybody accountable for the unspeakable corruptions act in the continent. From public offices to the private ones. The ethics and operational integrity must be instilled.
 
Mhe. Zuma anakwenda jela miezi kumi na tano kwa kutoheshimu mahakama huku kesi ya msingi ikiendelea. Anatuhumiwa kutumia madaraka na rasilimali za nchi yake kinyume Cha sheria kabla ajaondolewa madarakani.

Tunaposema tunataka katiba mpya tunamaanisha kila mwenye hatia achukulowr hatua. Tunamaanisha Wana CCM siyo exceptional wanapovunja sheria. Tunamaanisha haki sawa
 

Zuma sentenced to 15 months in prison for contempt of court​

The judgment seeks not only to punish Zuma for failing to heed the court’s order that he testify before the Zondo commission, but also for his egregious efforts to impugn the courts
Emsie Ferreira
29 Jun 2021
Former president Jacob Zuma. Phil Magakoe/ReutersFormer president Jacob Zuma. (Phil Magakoe/Reuters)

The Constitutional Court on Tuesday, in a majority ruling, found former president Jacob Zuma in contempt of court and sentenced him to prison for 15 months for violating the authority of the court and repeatedly attacking the dignity of the judiciary.

He has five days to present himself to either the Nkandla police station or one in Johannesburg, the court said.

In a judgment penned and delivered by acting Deputy Chief Justice Sisi Khampepe, it was said that the court had a duty to punish not only Zuma’s defiance of its order to comply with summons to testify before the Zondo commission, but his casual and “scandalous” attacks on the courts.

It would be naive to believe that handing down a suspended sentence, aimed at still bringing him to testify, would have the desired effect, Khampepe said.

In fact, it only posed the likely risk of the former head of state redoubling his efforts to undermine the rule of law.

“It defies logic to believe that a suspended sentence would have any effect other than to prolong his defiance and to signal dangerously that impunity is to be enjoyed by those who defy court orders,” Khampepe said.

She said although the case and its circumstances were exceptional, it would be wrong to think that the majority was writing legal precedent with its sentence. It was simply applying the law and doing so evenly.

“It is disturbing that he who twice sought allegiance to the republic, its laws and its constitution has sought to ignore, undermine and in many ways destroy the rule of law altogether,” she said.

“In taking stock of the cumulative effect of these exceptional circumstances, the majority finds that it must grant an order that will vindicate the court’s order and protect and maintain public confidence in the legitimacy of the judiciary.

“Accordingly the only appropriate sanction is a direct, unsuspended order of imprisonment, because the alternative would be to effectively sentence the legitimacy of the judiciary to inevitable decay,” Khampepe said.

The majority judgment seeks not only to punish Zuma for failing to obey the court’s order in January that he heed directives from the commission to testify, but his sustained efforts to impugn the courts. These were aggravating factors, she said, as was his failure to file submissions to the court despite invitation to do so.

Khampepe said the public had an interest in Zuma appearing before the commission; it also had equal, if not greater, interest in the protection of the rule of law and the dignity of the courts.

The court awarded costs against Zuma.

Source : Zuma sentenced to 15 months in prison for contempt of court - The Mail & Guardian
 
Back
Top Bottom