Rais wa Zanzibar Dkt.H.Mwinyi kumwapisha Mhandisi Zena Ahmed Said kuwa Katibu MPYA wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi ni tarehe 02-01-2021

Hivi huko Zanzibar wanaume walishaisha?
 
Mpemba aliyehamia Tanga na baadae Dar alikokulia, na kazi kafanya TANROSDS kabla ya kuwa RAS Tanga wakat wa JPM na baadae akawa karibu Mkuu wa wizara ya Nishati mpaka alivyoteuliwa kurudi Zanzibar jana

Huyu sio mwanasiasa usimchukulie poa
Katibu Tawala RAS wa mkoa wa Tanga, Eng Zena Ahmed Said akitoa somo la uraia
14 Oct 2019
Kwasasa habari ya watu kujitokeza kwenda kujiandikisha kwa ajili ya uchaguzi wa serikali za mitaa ndio inaisisitizwa na kila kiongozi nchini ambapo imebidi waongeze siku tatu baada ya zawali watu kujitokeza kwa uchache Sasa reporter wa AyoTV amekutana na kijana Kimweli akimwambia katibu Tawala RAS wa mkoa wa Tanga Eng Zena Said kuwa yeye na vijana wenzake kumi awataki kujiandikisha kwasababu kua ata wakijiandikisha ni yaleyale tu wanajua lakini baada ya maelezo na kupata elimu kutoka kwa katibu Tawala wa mkoa amekubali kwenda kujiandikisha na kuwashawishi wengine wakajiandikishe.

..............................................................................


01 January 2021
Unguja, Zanzibar

KATIBU MKUU KIONGOZI WA KWANZA MWANAMKE KUANZA KAZI LEO ZANZIBAR


Soma wasifu wa Eng. Zena Ahmed Said : gonga hapa : Q&A: A professional U-turn: From engineer to regional administrator
 
Sikuanza mimi kuhusudu waarabu ata Mama Makinda alivaa Baibui la kamba akatinga Oman pamoja na Lukuvi wakat wa JK kuwaombea watanganyika misaada, baniani mbaya lakini kiatu chake dawa
 
Hongera zake, kumbe ndiyo yeye?! Nilidhani ni nasaba ya majina tu!
 
Alishakuwa RAS Kilimanjaro,halafu Magufuli alipomteua Anna Mghwira kuwa RC,akamuhamishia Tanga
 
Hongera zake kwa kuchaguliwa......,..ila hiyo ndiyo picha ya mhandisi kweli jamani? au imekosewa ,kasoma wapi kipindi kile huyu coet nn, mbona.........
Ukisoma maelezo ya wasifu wake anasema uhandisi haikuwa career aliyoipenda bali iliisoma kwa vile alipewa scholarship.
 
Mbona anateuwa machotara watupu kuna nini hapa au ndo kashirikiana na maalim seif wanataka kutimiza adhma yao kuleta waarabu Zanzibar
Kwani chotara ni waarabu?!!!

Hivi rangi ya wazanzibari walio wengi unaweza kuwaita machotara?!!

Mmh labda historia ya hao jamaa wa kisiwani huijui vyema.....
 
 
Mbona anateuwa machotara watupu kuna nini hapa au ndo kashirikiana na maalim seif wanataka kutimiza adhma yao kuleta waarabu Zanzibar
Ha ha ha ha ha haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Kumbe bado Tanzania kuna wagonjwa wa ubaguzi karne hii ya 21!
Kwani chotara akiwa matanzania, au mwarabu au mzungu au muhindi kuna tatizo gani ?
Mtanzania mzaliwa yeyote yule ana haki ya msingi kushiriki katika ujenzi wa taifa,
Ikiwa wamepewa Waafrika safi miaka 56 na wamfuruga na kuidumaza nchi, sasa ni wakati wa machotara kujaribu zari zao za kiuongozi nchi kwenye uchumi wa BULUU.

Zanzibar bila Mwarabu Haiisimami ngoo.

Zanzibaaaaaaaaaaaaaaaa Kwanzaaa
 

Mhe.mhandisi Zena Ahmed Said afichua siri ya safari yake ya uongozi

Ni Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi, Zanzibar, Zena Said ni mwanamke wa kwanza kushika wadhifa huo katika Serikali ya Awamu ya Nane inayoongozwa na Dk Hussein Mwinyi.

Soma zaidi habari hii kwa kubofya link >>> Mhe.mhandisi Zena Ahmed Said afichua siri ya safari yake ya uongozi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…