Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi huko Zanzibar wanaume walishaisha?
Katibu Tawala RAS wa mkoa wa Tanga, Eng Zena Ahmed Said akitoa somo la uraiaMpemba aliyehamia Tanga na baadae Dar alikokulia, na kazi kafanya TANROSDS kabla ya kuwa RAS Tanga wakat wa JPM na baadae akawa karibu Mkuu wa wizara ya Nishati mpaka alivyoteuliwa kurudi Zanzibar jana
Huyu sio mwanasiasa usimchukulie poa
Aisee Coet...naikumbuka FOE enzi zetu.Ndo nataka nishangae product hii inaweza isiwe ya coet kabisa yan anaonekana tu
Je una ushahidi juu ya Eng.Zena, au unatumia generalizations za watu wengine?! Tafadhali naomba uweke, siyo sahihi kwa greater thinker kuishi kwa hisia na kuhukumu subjectively!Utakuta hata ukimuambia adizaini beam tu hajui. Alafu anajiita injinia.
Huyu ni political engineer.
Sikuanza mimi kuhusudu waarabu ata Mama Makinda alivaa Baibui la kamba akatinga Oman pamoja na Lukuvi wakat wa JK kuwaombea watanganyika misaada, baniani mbaya lakini kiatu chake dawaRangi yako halisi ni hii sasa 'kupitia hiyo comment'
Wewe ndiye unayehusudu waarabu, na matamanio yako ni kuona waarabu wana take over Zanzibar (kisiasa na kiutumishi katika serikali ya mapinduzi)
Na unaumia unapoona wazanzibari weusi wanaendelea kutake over
Katibu Tawala RAS wa mkoa wa Tanga, Eng Zena Ahmed Said akitoa somo la uraia
14 Oct 2019
Kwasasa habari ya watu kujitokeza kwenda kujiandikisha kwa ajili ya uchaguzi wa serikali za mitaa ndio inaisisitizwa na kila kiongozi nchini ambapo imebidi waongeze siku tatu baada ya zawali watu kujitokeza kwa uchache Sasa reporter wa AyoTV amekutana na kijana Kimweli akimwambia katibu Tawala RAS wa mkoa wa Tanga Eng Zena Said kuwa yeye na vijana wenzake kumi awataki kujiandikisha kwasababu kua ata wakijiandikisha ni yaleyale tu wanajua lakini baada ya maelezo na kupata elimu kutoka kwa katibu Tawala wa mkoa amekubali kwenda kujiandikisha na kuwashawishi wengine wakajiandikishe .................................
01 January 2021
Unguja, Zanzibar
KATIBU MKUU KIONGOZI WA KWANZA MWANAMKE KUANZA KAZI LEO ZANZIBAR
Soma wasifu wa Eng. Zena Ahmed Said : gonna hapa : Q&A: A professional U-turn: From engineer to regional administrator
.............................................
Mbona ana toa wabara anapeleka ZNZ.
Siyo wote wanaofanya kazi SMT, ni watu wa bara!Mbona ana toa wabara anapeleka ZNZ.
Kwa kuwa hakusoma Coet?acha wivu na usongombwingoUtakuta hata ukimuambia adizaini beam tu hajui. Alafu anajiita injinia.
Huyu ni political engineer.
Ukisoma maelezo ya wasifu wake anasema uhandisi haikuwa career aliyoipenda bali iliisoma kwa vile alipewa scholarship.Hongera zake kwa kuchaguliwa......,..ila hiyo ndiyo picha ya mhandisi kweli jamani? au imekosewa ,kasoma wapi kipindi kile huyu coet nn, mbona.........
Kutakuwa na pombe kama ilikuwa kawaida yenuKwanza itakuwa live channel gani??
Pili kuna ubwabwa!?
Kwani chotara ni waarabu?!!!Mbona anateuwa machotara watupu kuna nini hapa au ndo kashirikiana na maalim seif wanataka kutimiza adhma yao kuleta waarabu Zanzibar
Update:-
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amemuapisha Mhandisi Zena Ahmed Said kuwa Katibu wa Baraza la Mapinduzi na katibu Mkuu Kiongozi, akichukua nafasi ya Dkt. Abdulhamid Yahya mzee aliestaafu. Hafla hiyo ya kiapo imefanyika Ikulu Jijini Zanzibar na kuhudhuriwa na Viongozi mbali mbali wa Kitaifa, akiwemo Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Hemed Suleiman Abdalla, Mawaziri, Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi mstaafu Dk. Abdulhamid Yahya Mzee pamoja na Spika wa Baraza la Wawakilishi Zubeir Ali Maulid.
Rais Dk. Mwinyi amemuapisha kiongozi huyo kushika wadhifa huo baada ya kumteua Januari mosi mwaka huu, kwa mujibu wa uwezo aliopewa chini ya kifungu cha 49 (1) cha Katiba ya Zanzibar ya mwaka 1984. Kabla ya uteuzi huo Mhandisi Zena Ahmed Said alikuwa Katibu mkuu Wizara ya Nishati katika Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Katika hatua nyingine, akizungumza na vyombo vya habari, Mhandisi Zena alisema atajitahidi kufanya kazi zake kwa kuzingatia sheria, kanuni na miongozo iliopo ili kufikia matarajio ya Wazanzibari. Pia atafuata kanuni na sheria na kujiongeza katika ubunifu ili aweze kufikia malengo, huku akiahidi Serikali kuangalia kwa undani umuhimu wa ajira kwa vijana.
Aidha alitowa wito kwa wanawake nchini kote kujiamini na kufanya kazi zao kwa weledi pamoja na kuwataka kufanya shughuli zao kwa kuzingatia wakati na nafasi zao, sambamba na kutosubiri kusaidiwa. Mhandisi Zena Ahmed Said, anakuwa mwanamke wa kwanza nchini kushika wadhifa wa Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi, tangu Mapinduzi ya 1964.
View attachment 1665504
View attachment 1665506
View attachment 1665507
View attachment 1665508
===========================================================================================================
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi; siku ya Jumamosi tarehe 02/01/2021 saa 05:00 mchana atamuapisha Mhandisi Zena Ahmed Said kuwa Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi.
Taarifa kutoka Ikulu habari Zanzibar.
Ha ha ha ha ha haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaMbona anateuwa machotara watupu kuna nini hapa au ndo kashirikiana na maalim seif wanataka kutimiza adhma yao kuleta waarabu Zanzibar
Huyo sio chotara
Updates :-