Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hayo ndo mnayaweza kutumbua majibu ya wenzenu majibu yenu yanawashinda
Hawana nafasi, Kuna ubaaguzi kule Ila hata hivyo Ni koloni letuHiv huko wakristo hawapo
Dr Mwinyi alisema akiwa mkubwa anataka kuwa kama Dr Magufuli🔥🔥🔥🔥🔥🔥Nimecheka kwa nguvu hilo igizo. Inaonekana kabla ya kupewa hiyo nafasi na vyombo vya dola, kwenye ule utapeli uitwao uchaguzi wa juzi, alikula rehesal ya zile episode za magu wakati anaingia madarakani kwa mara ya kwanza! What about joke.
Dr Mwinyi alisema akiwa mkubwa anataka kuwa kama Dr Magufuli🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Na sasa ameshakua mkubwa😍🇹🇿👏
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Alikula cheche?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nimecheka vibaya, kwamba anataka kuwa kama Magufuli! Kazi ipo. Kuna vitu sijawahi hata kujaribu kufikiria.
Huko hata BAKWATA hakuna!Hivi huko wakristo hawapo