Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Chama Cha mbowe [emoji38]RCs, DEDs, watendaji wa mitaa, kata...
Hivi sasa ni waziri mkuu wa wapi?[emoji23][emoji23][emoji23]
Ila mh Rais anaweza kumteua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chama Cha mbowe [emoji38]RCs, DEDs, watendaji wa mitaa, kata...
Ooh
Nitaifungua nikiingia kwa browser.Polee
LisuNani alimchagua huyu kuwa Rais?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]ila kama ni ya Mbowe lazima niione.Watoto wa Magu wabishi sana nyie[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Chadema ni mabingwa wa kujifariji😁😁😁[emoji1787][emoji1787][emoji1787]ila kama ni ya Mbowe lazima niione.
Mbowe alinivunja sana mbavu alivyosema ndani ya masaa72 Atakuwa waziri mkuu[emoji38]
Sijui alikuwa ndotoni[emoji848]
Huwa najiuliza sipati majibu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
DihHawana nafasi, Kuna ubaaguzi kule Ila hata hivyo Ni koloni letu
Pale mgeni kutoka Kivule anapowatumbua wenyeji !
Ili wafanye nini? Wakristo wote Zanzibar ni Wageni,..Hivi huko wakristo hawapo
99% ya wananchi wa Zanzibar ni waislamuHivi huko wakristo hawapo
lazima awepo Rais wa Jamhuri ya watu wa Zanzibar na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.Eti zanzibar napo kuna rais..wakati wanalishw na tanganyika..sibora tu tuufanye mko ijulkane moja.
Chaajabu huyu raisi mpa hata hafananii kabisa..yana kama monita wa darasa la pili.
#MaendeleoHayanaChama
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Ukiwa humu JF unaweza hisi nchi inapinduliwa[emoji1787]Chadema ni mabingwa wa kujifariji[emoji16][emoji16][emoji16]
Kachaguliwa kwa kishindo na wa zanzibar wazalendo.Nani alimchagua huyu kuwa Rais?
Wala rushwa mtaelewa tuNani alimchagua huyu kuwa Rais?