Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi aanza kutema cheche, amtumbua Mkurugenzi wa Bandari

Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi aanza kutema cheche, amtumbua Mkurugenzi wa Bandari

Hakuna mzigo kama kuongoza watu ambao hawakuwahi kukuchagua
 
Watumishi wa umma wa huko Zanzibar malofa sana, wanaacha kumchagua Seif aliyewaahidi kufanya mshahara wao mara 2 ya wanachopokea sasa wakamsaidia mtu mwigizaji wa CCM kuiba kura. Ona sasa hata akatumbua Mabosi wote hali zao zitabaki palepale
Acha uboya wewe nani ampe mtu ambae katika kampeni zake ni kutaka kuondoa jeshi lote na kuanza kuunda jeshi lake Zanzibar... Nani mbongo mwenye akili mbovu atakaekubali Seif apewe mwisho wa siku Zanzibar muingie kwa passport kutoka bara? Nani atakaempa mwisho wa siku waarabu ndo wazidi kututawala Zanzibar badala yetu?
 
Nani amekudanganya kama Zanzibar kuna Raisi ? najua itakuwa ni tume ya Zec lakini mtafute Mheshimiwa Magufuli ukae nae chemba asiwepo mtu halafu muulize au mwambie Zanzibar tumepata Raisi mbona atakuona wakuja akuulize wee wa waapii?

Nikumegee tu Zanzibar hakuna raisi japo wenyewe wanajitoa ufahamu na hawajui ,Mbele ya Magufuli Zanzibar hakuna Raisi,Jiulize siku ya kuapishwa Magufuli alihudhuria ? Hakuna sababu za msingi sababu iliyojificha ambayo haianikwi ni kuwa Zanzibar hakuna cha uraisi wala uwakilishi Zanzibar wanaotambulika TANZANIA au tuseme UNITED REPUBIC OF TANZANIA ni wabunge.

Waliobakia sijui wawakilishi ,raisi ni kama kuku waliowekwa bandani na kuwekewa chakula cha kutosha, kwa maana mapato madogomadogo ndio chakula walichoachiwa. Magufuli akiamua kumchinja au tutumie lugha iliyozoeleka kumtumbua awe Raisi au muwakilishi ni kutuma SMS.
Nani aliekwambia Zanzibar hakuna Rais? Au siku ya kupoga kura urais Zanzibar hukuwepo? Wewe naona ulitaka apewe Seif na hatumpi abadan... Wewe humjui Seif mimi ndo natoka alikozaliwa jiulize alipo kuwa madarakani alifanya nini kwao? Hata kibanda cha chipsi hakuweka... Usitafute vilivojificha tukafichua. Unaongea ukiwa na msongo wa mawazo sana kisa kashindwa Seif. Pengine unaongea hujui hata Seif katokea kijiji gani ukitaka kujua njoo Zenji ntakupeleka Pemba alipozaliwa.
 
Hivi huko Wakristo hawapo?
Wakristo hawafanyi asilimia hata 0.001 Zanzibar, halafu watu hawachaguliwi Kwa Dini zao huchaguliwa kwa ujuzi wa KAZI anayopewa

Acha udini
 
Back
Top Bottom