Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi aanza kutema cheche, amtumbua Mkurugenzi wa Bandari

Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi aanza kutema cheche, amtumbua Mkurugenzi wa Bandari

Eti zanzibar napo kuna Rais..wakati wanalishwa na Tanganyika..si bora tu tuufanye mkoa ijulikane moja.

Cha ajabu huyu Rais mpya hata hafananii kabisa, yana kama monita wa darasa la pili.

#MaendeleoHayanaChama

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Wakati wengine wanatamani kuwa kama rais Magufuli wengine wanatamani kuwa kama Tundu
Maisha ndivyo yalivyo[emoji5][emoji5][emoji5]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wasamehe bure, wana stress za kipigo
 
Eti zanzibar napo kuna rais..wakati wanalishw na tanganyika..sibora tu tuufanye mko ijulkane moja.

Chaajabu huyu raisi mpa hata hafananii kabisa..yana kama monita wa darasa la pili.

#MaendeleoHayanaChama

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Umeandika nini sasa😁😁😁
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wasamehe bure, wana stress za kipigo

Tuliwaambia wapenzi wa Tundu hapa wakawe mawakala wasijesema wameibiwa kura wakachukulia powa
Walioenda nao hawakupewa posho ati waliahidiwa teuzi. Chadema hawajawahi kuwa serious na siasa jamani
 
Tuliwaambia wapenzi wa Tundu hapa wakawe mawakala wasijesema wameibiwa kura wakachukulia powa
Walioenda nao hawakupewa posho ati waliahidiwa teuzi. Chadema hawajawahi kuwa serious na siasa jamani
Teuzi Gani?[emoji38]
 
Wakati wengine wanatamani kuwa kama rais Magufuli wengine wanatamani kuwa kama Tundu
Maisha ndivyo yalivyo☺☺☺

Ni kweli, na huko Znz wajiandae kuanza kutekwa na kundi la watu wasiojulikana.
 
Back
Top Bottom