Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi amshukuru Rais Samia Suluhu na IMF

Ze Bulldozer

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2020
Posts
1,070
Reaction score
568

===
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe Hussein Ally Hassan Mwiny amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano Mhe Samia Suluhu Hassan kwa Upambanaji wake kwa Taifa lake la Tanzania na kumtaka aendelee hivyohivyo kuumizwa na umasikini wa watu wake anaowaongoza toka pande zote za Muungano,
===
"Tumepata bahati ya kupata mkopo wa IMF dola za Marekani milioni 100 sawa na bilioni 230, nimshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuhakikisha serikali ya Zanzibar inapata mgao wake katika mkopo ule wa trilioni 1.3 uliokopwa na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania" -Rais Hussein Mwinyi

IMG-20211108-WA0009.jpg
VIVA SAMIA VIVA ||VIVA MWINYI VIVA
 
Rais wa Zanzibar na Mkt wa Baraza la Mapinduzi Mhe Hussein Ally Hassan Mwiny amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano Mhe Samia Suluhu Hassan kwa Upambanaji wake kwa Taifa lake la Tanzania na kumtaka aendelee hivyohivyo kuumizwa na umasikini wa watu wake anaowaongoza toka pande zote za Muungano,

"Tumepata bahati ya kupata mkopo wa IMF dola za Marekani milioni 100 sawa na bilioni 230, nimshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuhakikisha serikali ya Zanzibar inapata mgao wake katika mkopo ule wa trilioni 1.3 uliokopwa na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania" -Rais Hussein Mwinyi

View attachment 2002896
Wakati wa ulipwaji wa mkopo huu utashangaa Bara wanaulipa mkopo wote 1.3 trilion na visiwani watapiga kimya
 
Mbali ya yote Raisi Mwinyi Huseini ahimizi lile deni letu vipi ? Tunaidai Serikali ya Muungano hela kibao zaidi ya huo msaada,yaani atumie fursha hio kulianika katika kiwango cha kitaifa,watulipe.mnataka Muungano hela hamtaki kutulipa,nyie wawapi ?
 
Mnadai pesa za nini?
 
Zanzibar tunapozungumzia Taifa Zanzibar tunaiweka kuwa kama mkoa tu
Na unapoizungumzia Tanzania tunaiweka kama Mvamizi, kuna siku na haipo mbali lazima mvamizi atakurupushwa.Wazenji hawapumui

Ila sababu kuu ,na mshukuru sana huu Muungano ,maana siku ukivurugika na kukatikia pabovu ,ndio mwanzo wa Tanganyika kugawika mapande mapande Kaskazini kwao ,Kusini kwao aafu zile kilometa kumi zote zinajiunga na Zanzibar,wabara mrudie kula perege maana samaki wa maji chunvi pweza ngisi chaza,kombe vibuwa dagaa ,itakuwa mnaletewa kama zawadi.
 
Unaota!
 
Wewe unadhani hili ni jambo jema?
 
Back
Top Bottom