Jagina
JF-Expert Member
- Jan 29, 2019
- 8,428
- 4,022
Hii nzuri sana, tunawapongeza wote wawili na hii ndio maana halisi ya Muungano.
Yaani kuchukua mkopo mnapongezana ??? , huu ugonjwa 😳
Yaani mtu anafurahia kupata matatizo, akili hii basi tena
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii nzuri sana, tunawapongeza wote wawili na hii ndio maana halisi ya Muungano.
Watalii wengi wanaokwenda Zanzibar ni wataliano na wao malipo yote ya kustarehe Zanzibar wanayafanyia huko huko kwao kabla ya kuja hivyo jamaa zetu wanaambulia kiduchu!!Zanzibar inakuja juu sana kiutalii bwashee, Muda kidogo watakuwa matajiri wakupindukia
Unapowaza mgawanyiko wa Tanganyika katika kanda mbalimbali (ambalo si rahisi), waza pia mgawanyiko wa wapemba na waunguja (upo mpaka sasa), Mgawanyiko huu wa Zanzibar umefichwa tu na MuunganoNa unapoizungumzia Tanzania tunaiweka kama Mvamizi, kuna siku na haipo mbali lazima mvamizi atakurupushwa.Wazenji hawapumui
Ila sababu kuu ,na mshukuru sana huu Muungano ,maana siku ukivurugika na kukatikia pabovu ,ndio mwanzo wa Tanganyika kugawika mapande mapande Kaskazini kwao ,Kusini kwao aafu zile kilometa kumi zote zinajiunga na Zanzibar,wabara mrudie kula perege maana samaki wa maji chunvi pweza ngisi chaza,kombe vibuwa dagaa ,itakuwa mnaletewa kama zawadi.
Naunga mkono hoja yakounapowaza mgawanyiko wa Tanganyika katika kanda mbalimbali (ambalo si rahisi), waza pia mgawanyiko wa wapemba na waunguja (upo mpaka sasa), Mgawanyiko huu wa Zanzibar umefichwa tu na Muungano
Safi sana Tanzania yangu nikupendaye sana,Rais wa Zanzibar na Mkt wa Baraza la Mapinduzi Mhe Hussein Ally Hassan Mwiny amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano Mhe Samia Suluhu Hassan kwa Upambanaji wake kwa Taifa lake la Tanzania na kumtaka aendelee hivyohivyo kuumizwa na umasikini wa watu wake anaowaongoza toka pande zote za Muungano,
"Tumepata bahati ya kupata mkopo wa IMF dola za Marekani milioni 100 sawa na bilioni 230, nimshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuhakikisha serikali ya Zanzibar inapata mgao wake katika mkopo ule wa trilioni 1.3 uliokopwa na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania" -Rais Hussein Mwinyi
Nikweli kabisaZanzibar inakuja juu sana kiutalii bwashee, Muda kidogo watakuwa matajiri wakupindukia
Safi sanaRais wa Zanzibar na Mkt wa Baraza la Mapinduzi Mhe Hussein Ally Hassan Mwiny amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano Mhe Samia Suluhu Hassan kwa Upambanaji wake kwa Taifa lake la Tanzania na kumtaka aendelee hivyohivyo kuumizwa na umasikini wa watu wake anaowaongoza toka pande zote za Muungano,
"Tumepata bahati ya kupata mkopo wa IMF dola za Marekani milioni 100 sawa na bilioni 230, nimshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuhakikisha serikali ya Zanzibar inapata mgao wake katika mkopo ule wa trilioni 1.3 uliokopwa na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania" -Rais Hussein Mwinyi
Hiyo Tanganyika ipo Sehemu gani kwenye ramani ya nchi?
Sheria ya kuthibitisha TANGANYIKA KUWA JAMUHURI IMEFUTWA LINI na mpaka leo imo kwenye katiba.Hiyo Tanganyika ipo Sehemu gani kwenye ramani ya nchi?
unapowaza mgawanyiko wa Tanganyika katika kanda mbalimbali (ambalo si rahisi), waza pia mgawanyiko wa wapemba na waunguja (upo mpaka sasa), Mgawanyiko huu wa Zanzibar umefichwa tu na Muungano
Tanzania bara ni nchi gani?View attachment 2005696View attachment 2005696Wakati wa ulipwaji wa mkopo huu utashangaa Bara wanaulipa mkopo wote 1.3 trilion na visiwani watapiga kimya
ara
Sheria ya kuthibitisha TANGANYIKA KUWA JAMUHURI IMEFUTWA LINI na mpaka leo imo kwenye katiba.
Ushaiona tanganyika
Nchi ya mazuzu
Mm mwenyewe siijui hata UN hawajawahi kuwa na member huyo !!!Tanzania bara.Tanzania bara ni nchi gani?
Utapeli upo?Mm mwenyewe siijui hata UN hawajawahi kuwa na member huyo !!!Tanzania bara.
“Utapeli haujawahi kuwa na mwisho mwema “
Wachapakazi===
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe Hussein Ally Hassan Mwiny amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano Mhe Samia Suluhu Hassan kwa Upambanaji wake kwa Taifa lake la Tanzania na kumtaka aendelee hivyohivyo kuumizwa na umasikini wa watu wake anaowaongoza toka pande zote za Muungano,
===
"Tumepata bahati ya kupata mkopo wa IMF dola za Marekani milioni 100 sawa na bilioni 230, nimshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuhakikisha serikali ya Zanzibar inapata mgao wake katika mkopo ule wa trilioni 1.3 uliokopwa na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania" -Rais Hussein Mwinyi
VIVA SAMIA VIVA ||VIVA MWINYI VIVA

muungano imara===

Muungano wa kitu gani?muungano imara
Zanzibar wamechukua 18% ya hela
Extremely unfair to Tanganyika
Zanzibar kuna watu nusu ya waliopo Halmashauri ya Wilaya ya Kinondoni
Zanzibar kwa ukubwa inaingia Halmashauri ya Sikonge mara 14
Zanzibar ilibidi wapewe asilimia nusu ya mkopo, 0.5%
Zanzibar wanatunyonya sana Tanganyika
Nyerere alituuza kama mbuzi wa mnadani
HujaelewekaUzurini kuwa deni hulipwa na aliyekopa, siyo na aliyegawiwa.