Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi amshukuru Rais Samia Suluhu na IMF

Rais wa Zanzibar na Mkt wa Baraza la Mapinduzi Mhe Hussein Ally Hassan Mwiny amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano Mhe Samia Suluhu Hassan kwa Upambanaji wake kwa Taifa lake la Tanzania na kumtaka aendelee hivyohivyo kuumizwa na umasikini wa watu wake anaowaongoza toka pande zote za Muungano,

"Tumepata bahati ya kupata mkopo wa IMF dola za Marekani milioni 100 sawa na bilioni 230, nimshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuhakikisha serikali ya Zanzibar inapata mgao wake katika mkopo ule wa trilioni 1.3 uliokopwa na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania" -Rais Hussein Mwinyi

Sawa kabisa. Jiwe alikopa matrilioni ya hela ila hakupeleka zanzibar hata mia.
 
Zanzibar inakuja juu sana kiutalii bwashee, Muda kidogo watakuwa matajiri wakupindukia
Hapana watakuwa masikin sanaaa maana wazungu wananunua aridhi Sana maeneo ya beach, na hotel nying za mabeberu na mapato mengi yanayo ingia Wana chukuwa wao, kuanzia mashuka, taulo,mito, sabunu, nyama za kuku mafuta yakupikia Wana agiza kutoka nje kwaiyo pesa inayo Baki kwa wananchi ni pesa ndogo Sana kupitia mishaara, na taxi , na bogamboga.
 
Rais wa Zanzibar na Mkt wa Baraza la Mapinduzi Mhe Hussein Ally Hassan Mwiny amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano Mhe Samia Suluhu Hassan kwa Upambanaji wake kwa Taifa lake la Tanzania na kumtaka aendelee hivyohivyo kuumizwa na umasikini wa watu wake anaowaongoza toka pande zote za Muungano,

"Tumepata bahati ya kupata mkopo wa IMF dola za Marekani milioni 100 sawa na bilioni 230, nimshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuhakikisha serikali ya Zanzibar inapata mgao wake katika mkopo ule wa trilioni 1.3 uliokopwa na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania" -Rais Hussein Mwinyi

Habari njema sana kwa Taifa
 
Hongereni sana tunawapenda sanaw
 
Mkuu u
Mbali ya yote Raisi Mwinyi Huseini ahimizi lile deni letu vipi ? Tunaidai Serikali ya Muungano hela kibao zaidi ya huo msaada,yaani atumie fursha hio kulianika katika kiwango cha kitaifa,watulipe.mnataka Muungano hela hamtaki kutulipa,nyie wawapi ?
Mkuu umenena. Labda wabobezi wa kubeza watakaa kimya ili Siri isifichuke.
 
Back
Top Bottom