Ze Bulldozer
JF-Expert Member
- Jun 12, 2020
- 1,070
- 568
Good Sana tuGood
Wakati wa ulipwaji wa mkopo huu utashangaa Bara wanaulipa mkopo wote 1.3 trilion na visiwani watapiga kimyaRais wa Zanzibar na Mkt wa Baraza la Mapinduzi Mhe Hussein Ally Hassan Mwiny amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano Mhe Samia Suluhu Hassan kwa Upambanaji wake kwa Taifa lake la Tanzania na kumtaka aendelee hivyohivyo kuumizwa na umasikini wa watu wake anaowaongoza toka pande zote za Muungano,
"Tumepata bahati ya kupata mkopo wa IMF dola za Marekani milioni 100 sawa na bilioni 230, nimshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuhakikisha serikali ya Zanzibar inapata mgao wake katika mkopo ule wa trilioni 1.3 uliokopwa na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania" -Rais Hussein Mwinyi
View attachment 2002896
Mnadai pesa za nini?Mbali ya yote Raisi Mwinyi Huseini ahimizi lile deni letu vipi ? Tunaidai Serikali ya Muungano hela kibao zaidi ya huo msaada,yaani atumie fursha hio kulianika katika kiwango cha kitaifa,watulipe.mnataka Muungano hela hamtaki kutulipa,nyie wawapi ?
Zanzibar tunapozungumzia Taifa Zanzibar tunaiweka kuwa kama mkoa tuWakati wa ulipwaji wa mkopo huu utashangaa Bara wanaulipa mkopo wote 1.3 trilion na visiwani watapiga kimya
Ila mkoa wenye serikaliZanzibar tunapozungumzia Taifa Zanzibar tunaiweka kuwa kama mkoa tu
Watauza nini ili walipe mkopo? Tunachezewa sana awamu hiiNa kwenye kulipa uje uongee hivyo hivyo kwamba na zanzibar mmelipa huo mkopo wenu
Unachezewa kivipi mkuu?Watauza nini ili walipe mkopo? Tunachezewa sana awamu hii
Sisi ni nchi moja mkuuNa kwenye kulipa uje uongee hivyo hivyo kwamba na zanzibar mmelipa huo mkopo wenu
Uko sahihiIl
Ila mkoa wenye serikali
Na unapoizungumzia Tanzania tunaiweka kama Mvamizi, kuna siku na haipo mbali lazima mvamizi atakurupushwa.Wazenji hawapumuiZanzibar tunapozungumzia Taifa Zanzibar tunaiweka kuwa kama mkoa tu
Unaota!Na unapoizungumzia Tanzania tunaiweka kama Mvamizi, kuna siku na haipo mbali lazima mvamizi atakurupushwa.Wazenji hawapumui
Ila sababu kuu ,na mshukuru sana huu Muungano ,maana siku ukivurugika na kukatikia pabovu ,ndio mwanzo wa Tanganyika kugawika mapande mapande Kaskazini kwao ,Kusini kwao aafu zile kilometa kumi zote zinajiunga na Zanzibar,wabara mrudie kula perege maana samaki wa maji chunvi pweza ngisi chaza,kombe vibuwa dagaa ,itakuwa mnaletewa kama zawadi.
Wewe unadhani hili ni jambo jema?Na unapoizungumzia Tanzania tunaiweka kama Mvamizi, kuna siku na haipo mbali lazima mvamizi atakurupushwa.Wazenji hawapumui
Ila sababu kuu ,na mshukuru sana huu Muungano ,maana siku ukivurugika na kukatikia pabovu ,ndio mwanzo wa Tanganyika kugawika mapande mapande Kaskazini kwao ,Kusini kwao aafu zile kilometa kumi zote zinajiunga na Zanzibar,wabara mrudie kula perege maana samaki wa maji chunvi pweza ngisi chaza,kombe vibuwa dagaa ,itakuwa mnaletewa kama zawadi.
Watauza karafuu na pwezaWatauza nini ili walipe mkopo? Tunachezewa sana awamu hii
Zanzibar inakuja juu sana kiutalii bwashee, Muda kidogo watakuwa matajiri wakupindukiaWatauza karafuu na pweza