Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi amshukuru Rais Samia Suluhu na IMF

Sawa kabisa. Jiwe alikopa matrilioni ya hela ila hakupeleka zanzibar hata mia.
 
Zanzibar inakuja juu sana kiutalii bwashee, Muda kidogo watakuwa matajiri wakupindukia
Hapana watakuwa masikin sanaaa maana wazungu wananunua aridhi Sana maeneo ya beach, na hotel nying za mabeberu na mapato mengi yanayo ingia Wana chukuwa wao, kuanzia mashuka, taulo,mito, sabunu, nyama za kuku mafuta yakupikia Wana agiza kutoka nje kwaiyo pesa inayo Baki kwa wananchi ni pesa ndogo Sana kupitia mishaara, na taxi , na bogamboga.
 
Habari njema sana kwa Taifa
 
Hongereni sana tunawapenda sanaw
 
Mkuu u
Mbali ya yote Raisi Mwinyi Huseini ahimizi lile deni letu vipi ? Tunaidai Serikali ya Muungano hela kibao zaidi ya huo msaada,yaani atumie fursha hio kulianika katika kiwango cha kitaifa,watulipe.mnataka Muungano hela hamtaki kutulipa,nyie wawapi ?
Mkuu umenena. Labda wabobezi wa kubeza watakaa kimya ili Siri isifichuke.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…