UVCCM, huwa mnajisikiaje kwamba sie tuki deconstruct masuala yanayofanywa na viongozi wenu tunakamatwa, lakini ninyi hata muwatukaneje kina Mbowe mpo mnapakatwa tuu…Mpike pilau kabisa mle mfurahie. Maana mmekosa utu hadi kuombeana mabaya
UVCCM, huwa mnajisikiaje kwamba sie tuki deconstruct masuala yanayofanywa na viongozi wenu tunakamatwa, lakini ninyi hata muwatukaneje kina Mbowe mpo mnapakatwa tuu…Mpike pilau kabisa mle mfurahie. Maana mmekosa utu hadi kuombeana mabaya
UVCCM, huwa mnajisikiaje kwamba sie tuki deconstruct masuala yanayofanywa na viongozi wenu tunakamatwa, lakini ninyi hata muwatukaneje kina Mbowe mpo mnapakatwa tuu…Yuko fiti huyo sio sawa na ahmada alie jivunja mguu kwa makonyagi View attachment 1475626
Nipo ok,kazi kwenu mnaoombea watu mabayaMbona umepaniki?
Kukejeli? Hata Kama ni msukule Basi usijitie upofu mtu kavunjika mguu kwa ulevi wake unakataaUmewakemea wanaomkejeli Mbowe anaeteseka na maumivu kuwa alianguka kwa ulevi?
Bora hivyo kuliko kulewa makonyagi kupita kiasi mpaka kujivunja mguuukiongea sana broken lazima ukohoe au kutapika.
Hayo ya Corona unasema weweIngekua ni corona hata kusimama na kuhutubia ingekua mtihani. Haswa muda ambao na dalili ya kukohoa ishakuanza.
Alisema mwanae aliumwa na akapona, mbona ni interval kubwa tangu huyo mwanae aumwe ndiyo dalili azipate leo?
Wale ni mazwazwaVipi wale waheshimiwa kule Bungeni wanaomjadili Mbowe kwa kumjeli kuwa alilewa badala ya kujadili maswala ya kitaifa?
Nani katukanwa? Mbowe kalewa na kavunjika mguu ni tusi hili?UVCCM, huwa mnajisikiaje kwamba sie tuki deconstruct masuala yanayofanywa na viongozi wenu tunakamatwa, lakini ninyi hata muwatukaneje kina Mbowe mpo mnapakatwa tuu…
Hawa ndiyo wapangaji na watekelezaji wa vitendo vyote vya kigaidiUVCCM, huwa mnajisikiaje kwamba sie tuki deconstruct masuala yanayofanywa na viongozi wenu tunakamatwa, lakini ninyi hata muwatukaneje kina Mbowe mpo mnapakatwa tuu…
Mungu au unamaanisha mungu wenu wa kijani?Mh Rais kaongea muda mrefu leo, tokea kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa barabara kilometa 51 toka Dodoma mjini, akaenda kwenye makao makuu mapya ya Jeshi la Zima Moto kufungua, lazima mtu ukohoe wakati mwingine ni kawaida tu ukiwa umeongea muda mrefu, pia yeye ni mwanadamu kwani akikohoa tatizo ni nn? . Ila ww mtoa mada nia yako ni kumuombea mabaya mh. Rais, ila Mungu sio wa kubeza, unapomuombea mwenzako mabaya yatakurudia ww.
Kicheko kimenitoka jamani usk namna hi🤣🤣🤣ukiongea sana broken lazima ukohoe au kutapika.
Mnalogana wenyewe kwenye anga zenu za nyunguMagufuli yupo fit sana
Hata mloge vipi , hatikisiki
Nawe karibu utaanza kukohoa vilevileYou can't question me that way, know that deep in your heart, i will burst you out, swine
Dah nom sanaRais wangu tangia uhutubie kuhusu mapapai kuwa na Corona takribani mwezi wa nne (miezi miwili sasa) nakuona unakohoa tu. Nakusihi utandike nyungu la nguvu maana kikohozi chako cha leo kimezidi.
Hapa naweka picha za jinsi ulivyokohoa leo, ni nyingi muno! Aisee mkuu wangu, piga nyungu sana kwa kweli.
View attachment 1475579View attachment 1475580View attachment 1475581
Mataga, huwa mnajisikiaje kwamba sie tuki deconstruct masuala yanayofanywa na viongozi wenu tunakamatwa, lakini ninyi hata muwatukaneje kina Mbowe mpo mnapakatwa tuu…Chadema followers, mmekuwa brainwashed to the extend hamna hata thinking ability, mkiitwa nyumbu mnachukia, but that is exactly who you are.. Wildebeest
And this election year, nakwambia ww mpiga uso ardhini uliyefungwa akili, myopic, mkipata hata wabunge wawili au 3 tu bungeni mshukuruni Mungu, sbb mmekuwa wajinga kabisa, ww ukiongoza list