Rais wangu Magufuli, Piga nyungu sana maana kikohozi chako kinanipa wasiwasi mkubwa!

Rais wangu tangia uhutubie kuhusu mapapai kuwa na Corona takribani mwezi wa nne (miezi miwili sasa) nakuona unakohoa tu. Nakusihi utandike nyungu la nguvu maana kikohozi chako cha leo kimezidi.

Hapa naweka picha za jinsi ulivyokohoa leo, ni nyingi muno! Aisee mkuu wangu, piga nyungu sana kwa kweli.
View attachment 1475579View attachment 1475580View attachment 1475581
Nampa pole Rais ila najua ni kwa vile anaongea sana hivo kidaka tonge kujifunga kwa muda ....Lakini pia azingatie wataalam wanavyomshauri.
Kuna tetesi mtaani kuwa Rais wetu moyo wake una shida mara anakula nyeupe kwa mwezi.
 
Sasa sijui itakuwaje kwenye mikutano ya kampeni?
1591929535556.png

Hii ndiyo mbinu tunayoitegemea baada ya Takukuru kuiondolea Chadema uhalali wa kushiriki uchaguzi.
 
Hahaha mh magufuli anawanyima sana usingizi mpaka mnajivunja miguu
 
Aise isije ikawa ya yule dikteta wa Bujumbura maana nae kwenye mkutano wake wa mwisho alikohoa kama kameza kungu mwisho mauti[emoji3]tumuombeee Rais wetu amalize muda wake oktoba salaaama
Inasemekana Waganda walikuwa wana maombi yao, Mungu akayajibia Bujumbura. Maombi yao ya kwanza yalijibiwa Harare. Tuongee na Waganda wasitishe maombi yao haraka sana...
 
Kusema ukweli Tanzania inaelekea kubaya,yaani utu watu unawatoka kazi kuombeana mabaya,we MTU utawezaje kumwambia rais wako hivyo,lakini pia serikali ingeanzisha utaratibu Wa kuwashughurikia watu hawa,maana sisi siyo desturi yetu kabisa,hapa siko kwenye siasa Niko kwenye utu,bungeni baadhi ya wabunge nao wajitafakari kuchekelea matatizo ya wenzenu haiwezekani we mfanyakazi mwenzako mnakaa ofisi moja mnaongea then mnafurahia akipata matatizo,hizo ni roho za kichawi,lazima mue na upendo,haya mengine ni matakataka ya dunia tu na tuta yaacha hapa duniani siku moja ,hela,magari,majumba,mashamba,tutayaacha na tutaenda kama tulivyokuja ,tutarudi mavumbini utake usitake,kiburi cha nini,majivuno ya nini
 
ushetani huu umeongezeka exponentially chini ya awamu ya 5.
 
Rais wangu tangia uhutubie kuhusu mapapai kuwa na Corona takribani mwezi wa nne (miezi miwili sasa) nakuona unakohoa tu. Nakusihi utandike nyungu la nguvu maana kikohozi chako cha leo kimezidi.

Hapa naweka picha za jinsi ulivyokohoa leo, ni nyingi mno! Aisee mkuu wangu, piga nyungu sana kwa kweli.
View attachment 1475579View attachment 1475580View attachment 1475581
[emoji44][emoji44][emoji848][emoji848][emoji848][emoji144][emoji144][emoji144][emoji40][emoji40][emoji40]
 
Back
Top Bottom