NABEEL SADIO
JF-Expert Member
- May 4, 2020
- 352
- 580
Nyeupe ndio nini?Nampa pole Rais ila najua ni kwa vile anaongea sana hivo kidaka tonge kujifunga kwa muda ....Lakini pia azingatie wataalam wanavyomshauri.
Kuna tetesi mtaani kuwa Rais wetu moyo wake una shida mara anakula nyeupe kwa mwezi.